Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Mtibwa acheze CAF CL.. kwa lipi?
Mpaka awe bingwa wa ligi... Au umedata na mapinduzi cup?
 
Shiza Ramadhan Kichuya ndio usajili wa kufungia dirisha la usajili.
Tayari ametua viunga vya Msimbazi na kumwaga wino... KARIBU NYUMBANI KICHUYA
 
HT: Mbao 0-1 Simba sc...
41' Dilunga HD... Kila la kheri mnyama
 
Back
Top Bottom