Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
.
IMG-20200117-WA0040.jpeg


Jr[emoji769]
 
#VPL FT' Yanga wamepoteza mechi ya pili mfululizo baada ya kukubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Azam Fc katika mchezo uliomalizika usiku huu kwenye uwanja wa taifa. Azam Fc 1-0 Yanga Ally Mtoni OG 26' East Africa TV on Twitter
 
*Yanga ni kama Wamasai.....yaani porini wanapambana na wanyama wakali, wakija mjini wanasuka wanawake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]*

Jr[emoji769]
Aisee
Naskia pia wanawapaka poda, wanawakata kucha, na kuzipaka rangi, kuwaosha nywele na miguu bila madhara yoyote.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MECHI YA KOMBE LA FA
10:00Jioni_ Simba Sc v/s Mwadui

mnyama mawindoni.. Kila la kheri
 
Back
Top Bottom