Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Champions
koh kohLeo kama mmefiwa.
#Habarizenutunazo.
naskitika et tunamchukua morrsonNimefurahi sana tulivyochukua Ligi Kuu pamoja na Kombe la Shirikisho.
Pamoja na furaha hiyo, nimeona kuna kasoro za wazi katika kikosi chetu amabzo kama hazitarekebishwa basi tunaweza kulaumiana sana tukienda Champions League. Safu ya beki wa kati inayumba yumba sana na hata kiungo mkabaji tunalegalega sana. Tunahitaji maboresho ya uhakika na siyo porojo eti tuna timu nzuri.
Ukikutana na Mamelodi yenye watu kama kina Vilakazi, Laffor na Sirino utaumia sana kama hujaandaa timu yako. Angalia hata Raja Casablanca ya sasa ilivyosheheni mitambo na inavyoupiga mwingi. Haikufika pale kwa bahati.
MO asituchanganye. Usajili mzuri ni muhimu sana kipindi hiki. Aache porojo kwenye hili na menejimenti ikae sawa kufanya usajili wa maana na sio vinginevyo
naskitika et tunamchukua morrson
Kwa discipline ya huyu jamaa sijui!
Na hapo ndipo ninapopawaziaKwa discipline ya huyu jamaa sijui!
talent wise..anajua sanaHuyu Morrison wa nini hatujifunzi kutokana na makosa au
Huenda alionesha discipline mbovu ili aingie kwa wenye pesa zao,Kwa discipline ya huyu jamaa sijui!