3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Hata Prison mliwachapa goli nyingi kweli.Unadhani YANGA ni sawa na mikia, nyie mlipata sare sasa leo angalia watavyochezea kichambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Prison mliwachapa goli nyingi kweli.Unadhani YANGA ni sawa na mikia, nyie mlipata sare sasa leo angalia watavyochezea kichambo.
Unawakera Uto mkuuukienda kuangalia mechi ya simba utapata faida zifuatazo kwa muda wa dakika 90
1. utaondoa stress zisababishwazo na maisha magumu
2. utaondoa machungu yakuachwa na bf au gf au mume au mke
3. utaondoa pressure isababishwayo na kuwaza wapi utapata pesa
4. utapata furaha moyoni na mwilini
5. utajihisi uko nchi za ulaya kwa kiwango cha soka uonalo
6. nafsi itachangamka na kujihisi uko peponi
7. utatamani mpira usiishe maana unakuwa kama utamu unakujaa unarudi
8. utajihisi ni tajiri kupindukia maana pasi za assist zitakufanya uwaze utaenda chukulia mkopo
9. utajiona wewe ni bonge la mtu mwenye bahati kwa kuwa mshabiki wa simba maana timu nyingine zikitoa sare zinajiona zimeshinda mbele ya simba
10. utajiona mwili wako umeutendea haki maana macho yataona udambwi masikio yatasikia gogogoooo la
mikono itapiga makofi miguu itarukaruka
mdomo utatabasamu ngozi itahisi msisimko kwa furaha
pua itanusa harufu nzuuri ya mpira wa kiwango
wewe kufa na stress kwa kushabikia yanga uandamwe na magonjwa moyo mtambuka