Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
BushaMan [emoji91][emoji91]
IMG-20210127-WA0133.jpg
 
SIMBA TUNATAKIWA TUTUMIA KILANAFASI TUNAYOTENGENEZA, UMALIZIAJI UTATUCOST, CHAMA NAYE ANAKAAA SANA MPIRA HATOI PENETRATION PASS KWA WAKATI
 
Mbumbumbu fc huwa mnajua sn kuliko makocha na wachezaji,

Na mkipoteza point kauli zenu sasa "huyu kocha simwelewi kabisa" 'Mugalu simwelewi' ''Bwalya kwanini katolewa'' 'Ajibu mbona hapangwi'

Dah! raha sana Haaahaaahah!
 
Kikosi imara Cha Simba tayari kimechukua kombe la Simba Super Cup
 
Kuelekea away game na Vita FC ya Congo tujadili mfumo unaofaa kutumiwa na Gomes...

Mimi naona mfumo utakaofaa ni wa WING BACK. kwa maana hiyo acheze
Kipa Manula
Mabeki 3 nyuma (Onyango, Wawa, Ame)
Wing backs 2 ( Kapombe, Shabalala)
Holding midfielders 1 (Lwanga ama Mkude)
Attack midfielder 3 (Chama, Bwaya, Luis)
Striker 1. ( Kagere)

Kapombe na Shabalala wao watacheza kama wings backs..kupanda na kushuka - mapafu ya mbwa yanahitajika hapa.
Wakishuka chini tunakuwa na mabeki 5 na wakipanda kwenye midfield wakati wa attack kunakuwa na midfielders 6 na wakipanda zaidi kwenye forward kunakuwa na strikers 3.

Hapa nina uhakika kwa away game hii, hao Vita watautafuta kwa tochi.

Nakaribisha mapendekezo ili tuboreshe mfumo na kikosi

Simba chama kubwa Africa.
 
Tusipoangalia Simba tutafelia kwenye kiungo kwanini... Lwaga sio mmbaya sana ila pia sio mzuri sana katika wepesi wa kukaba bado ni mzito labda mazoez na tactics za kocha mpya zitamfanya bora zaidi lakini hapo ndipo tutafelia endapo kocha hataamua kuja kuanza na Mkude.. kingine Chama arudi rasmi kwenye namba yake game mbili za mwisho za simba nilizotazama chama kama karudi nyuma kidigo kisha namba yake ikakamatwa na bwalya which sio mbaya kwa bwalya lakini ni mbaya kwa chama na timu ya ushindi bwalya ana kasi ana mashuti lakini akili ya pasi za mauaji kama mwamba wa lusaka hana tukicheza na timu itakayotupress mda mwingi tutapoteana mfano mzur game ya azam tu mudathir alitosha Kutupoteza baada ya kuingia na hii ikafanya naldo sasa na yy aonekane... Hapo kocha awe makini... Upande wa beki nyuma pale utulivu tu nyoni na wawa au wawa apate mtu atakaemkabia yy amalize hapo tutawini sana kwa kipa tusiruhusu mashuti ya kushtukiza kama mnafuatilia kwa umakini sana mtatambuwa kuwa manula mipira ya juu sio mzuri sana kama chini hivyo anapaswa kulindwa sana viungo na mabeki wasiruhusu washambuliaji timu pinzani wakajaribu sana nje ya boks...
 
Uchambuzi wa kina sana huu.
 
NAWATAKIENI MABALAA HUKO CONGO,MFUNGWE HADI MIMI NIOGOPE KUJITAMBULISHA KWA WAGENI KAMA NATOKEA TANZANIA!!
 
Back
Top Bottom