The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Sijaona bado timu ya kuifunga Yanga msimu huu.Ukweli kwamba yanga anabebwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaona bado timu ya kuifunga Yanga msimu huu.Ukweli kwamba yanga anabebwa?
Tayari Mkuu.Wadau mbona hatupeani updates humu ?
Hamna mimi nashauri mikasa ya kula tunda kimasihara ihamie humu kuchangamsha jukwaa.Huu uzi ufutwe.
Ukiona kimya ujue mambo ni magumu, tumepanga tumuachie simba yake Mo na demu wake.Wadau mbona hatupeani updates humu ?
Mwanzo walianza na GSM, baadaye uwanja, leo umri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lawama zote kwa Gsm