Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kocha wa viungo Simba anaitwa nani?naomba mnifahamishe maan nahisi yeye ndo anafanya tupate matokeo yawe magumu
 
Mchezaji wa Mbeya Kwanza hakuucheza mpira bali mpira ulimgonga.
Kaangalie video tena ile inaonesha nyuma kwenye goli kisha utaona body language ya mguu wa kushoto wa james mwasote ulitwist ili kuuzuia mpira na hicho ndo kiliua offside.
 
Kabla ya hapo kuna mchezaji wa mbeya Kwanza aliugusa
Ile kwa hali ya kawaida ilikuwa deflection. Hivyo haiwezi kubadili ukweli kwamba refa kuwapa lile goli. Alitakiwa awaachie na Mbeya kwanza lile la kwao ili iwe fair play!😁😁😁😁
 
Kimataifa [emoji881][emoji881] Jezi za SimbaView attachment 2114831View attachment 2114830View attachment 2114832
20220210_142850.jpg
View attachment 2114833
 
Utajiri Wa kurithi una shida sana;
1. Matajiri Wa hivi huwa wanataka kuabudiwa sana na masikini
2. Huwa ni mbumbumbu hata hesabu za kujumlisha ni shida!

Rejea 20+25= 85!

Kila la heri ASEC MIMOSAS!
 
Utajiri Wa kurithi una shida sana;
1. Matajiri Wa hivi huwa wanataka kuabudiwa sana na masikini
2. Huwa ni mbumbumbu hata hesabu za kujumlisha ni shida!

Rejea 20+25= 85!

Kila la heri ASEC MIMOSAS!
Hiki kinaitwa Kiherehere au Kwa Kiswahili cha ndaaaani sana Kinaitwa 'Kisebusebu'....!
 
Utajiri Wa kurithi una shida sana;
1. Matajiri Wa hivi huwa wanataka kuabudiwa sana na masikini
2. Huwa ni mbumbumbu hata hesabu za kujumlisha ni shida!

Rejea 20+25= 85!

Kila la heri ASEC MIMOSAS!
Wivu wa kurithi ni tatizo kubwa kuliko utajiri wa kurithi.
 
Back
Top Bottom