Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kocha msaidizi wa Simba Queens asimamishwa kazi baada ya uongozi kudai utovu wa nidhamu na moja wa sababu hizo ni Interview aliyehojiwa TBC na kudai wapo wachezaji wa Simba Queens wanalipwa Tsh 50,000 kwa mwezi

Source Issa Mbuzi
 
Msemaji wa simba amesema hamna mtu aliyesimamishwa kazi
 
Nguvu moja [emoji1477]
 
Attachments

  • AE33B447-B4E7-4751-9D6E-82B14456723C.jpg
    AE33B447-B4E7-4751-9D6E-82B14456723C.jpg
    91.2 KB · Views: 49
Klabu ya Simba SC kupitia kwa Mtendaji mkuu, Barbara Gonzalenz imethibitisha kuwa nyota Bernard Morrison haruhusiwi kuingia Afrika Kusini lakini hata hivyo amesema shughuli yote dhidi ya Orlando Pirates wataimaliza kwa Mkapa.
 
Back
Top Bottom