Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Screenshot_20230405-232453.jpg
 
Kama timu yako haipo hapo basi wewe ni kibonde,[emoji23][emoji23][emoji23]
20230407_134057.jpg
 
Unaambiwa wydad ni kaka wa Raja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oooooh kumbe timu yako ni wydad!!!???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Oooooh kumbe timu yako ni wydad!!!???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajichekesha au sio, subiri wanaume wakutafune siku hiyo, kwanza naanza mm kukula utamu alafu wydad anakula ndogo kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Katika timu 8 zilizofuzu Robo Fainali ya kombe la Shirikisho la Afrika msimu huu, timu 5 kati ya hizo zilifeli ligi ya mabingwa Afrika

UTO
Rivers United
Monastir
Malumo Gallants
Asec Mimosas

Yaani kwenye mashindano yetu wakubwa hawa walionekana vilaza wakashushwa chini

Kwa mfano timu ingekua ikitolewa Champions League hashiriki tena mashindano ya CAF basi hizo timu tano sasa hivi zingekua zinapambana Ramadhan Cup
 
Caf inabid waangalie upya huu utaratibu, hizi timu zikitolewa champions lg, zibakie tu na mambo mengine sio kuzipeleka mashindano B
 
Caf inabid waangalie upya huu utaratibu, hizi timu zikitolewa champions lg, zibakie tu na mambo mengine sio kuzipeleka mashindano B
Wangerekebisha pia mfumo, haya mambo ya kuingiza timu zaidi ya moja wakati inaitwa ligi ya mabingwa na bingwa wa nchi huwa ni mmoja tu sioni kama kuna mantiki.
 
Kwa hapa Afrika mashariki na kati sijaona timu ya kumfunga Yanga kwa sasa.
Manara apigiwe makofi matatu mazito [emoji122][emoji122][emoji122]

Hivi IHEFU ipo Amerika ya kusini au Antaktika?????

HUNA AKILI.
 
Manara apigiwe makofi matatu mazito [emoji122][emoji122][emoji122]

Hivi IHEFU ipo Amerika ya kusini au Antaktika?????

HUNA AKILI.
Ihefu tumecheza naye lini? Soma vizuri nilichoandika dunduka wewe. Kweli Rage ajengewe sanamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wangerekebisha pia mfumo, haya mambo ya kuingiza timu zaidi ya moja wakati inaitwa ligi ya mabingwa na bingwa wa nchi huwa ni mmoja tu sioni kama kuna mantiki.

Nadhani wanapomaanisha ligi ya mabingwa lakini wanazipa nchi nafasi kwa timu moja ya ziada ni kuzingatia kuwa timu inaweza isiwe bingwa kwenye ligi lkn inahistoria pia ya ubingwa/ hivyo kuyaboresha mashindano lazima wawapendelee wale wanaofanya vizuri.
 
Back
Top Bottom