Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Kikosi cha kazi hicho hapo, mtu anakula tano tenaa
simbasctanzania-20230410-0001.jpg
 
Nasikia mmeanza kumfananisha Baleke na Mayele [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mayele afananishwe na nani sasa?????

Wanaomfananisha mayele na wachezaji wengine ni utopolo wenzio,

Huyo mayele ana kipi cha zaidi????

Hao uliowaona hapo wote walikuwa matop top scorer katika ligi,

Bocco
Kagere
Okwi
n.k

Mayele amekuwa top scorer wapi?ligi gani?
Huyu anayeshindwa na kina Mpole uje kumfananisha na watu wa kazi.......!!!!!

AKILI AKILI AKILI
MTU WANGU
 
Mbn unaongea huku hujiamini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu Kanoute wapi mbona sijamuona kwa game mbili sasa ?
 
Timu ya dunia wana lunyasi mko poa
J2 tunampiga UTO 3 tu
Mechi nyingi tulizomfunga Utopolo tulitumia mbinu za nje ya uwanja kama kuonga baadhi ya wachezaji wao mahiri ila wakati huu imekuwa ngumu.

Ndio maana Utopolo wale wachezaji wasaliti pamoja na kuwa kwenye viwango vizuri walipowagundua waliachana nao ndio usalama walio nao sasa.
 
Back
Top Bottom