Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
hip hip, hureeeee
hip hip, hureeeeey
tic tac, hureeeeey
bip bip, hurreeeeeeeey
 
Hizi hizi threads si ziunganishwe tu tuanapata tabu kucheki kote ati
 
kuna mtu kaanzisha thread kwamba simba kashachukua ubingwa.naona kitu kitakuwa tayari mkuu unaweza kuanza kushangilia.

i hope hile mizee yenye njaa hawata leta migogoro tena kuja kuaribu mambo.
Hapo nakubaliana na wewe mia kwa mia.
 
lets give simba ahuge clap and toss for the champions!!
 
Nadahni muda utakuwa muafaka sasa. Dah nakumbuka enzi hizo ushabiki huu ulikuwa mkubwa sana yaani saa hizi tungekuwa mtaani na mandoo. maplastic na kila kitu chekundu tukiimba kidedea lol siku hizi hamna hiyo eti kimya kimaya ile ilikuwa na raha bana "santiago santiago, chileee"
 
Mpira umeisha.....................Eeh eeh eeh eeh eeh kidedeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
EEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE Kidedea POPOMPO KIDEDEA HEEEEEEEEEE Kideaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Sasa nguvu zetu tunazielekeza kwa Wazimbabwe. Yanga tutawakatia tu mikanda ya Kanda2, hawana lao.
 
SIMBA SIMBA SIMBA HUREEEEEEE
BINGWA WA 2010/2011 VODACOM TZ




Wekundu popote mlipo nawaombeni tubadilishane mawazo na kupeana updates kuhusu chama letu.Kuna mdau katu-update hapo down kuwa unaweza kuchangia chama letu kwa kutuma ujumbe,tuma neno SIMBA kwenda namba 15556 .maelekezo zaidi utayakuta ndani ya thread. hata kandambili mnaotukubali mnaruhusiwa.gonga basi thanks hapo down kama vipi.
 
Ha ha haaaa hiyo itakuwa Mechi ya Kujipima Nguvu Mkuu hatuwawazi Vibonde Yanga sasa Macho ni Harare tukale vichwa kwenye Medani za Kimataifa
hivi itakua vipi tukiwapanga simba kids hiyo mechi na kandambili??
 
Back
Top Bottom