Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread
Giiii mbona kimya hatupati matokeo jamani mlioko uwanjani au hata mnaosikiliza radio
 
Wadau leo tunataka kuweka historia & heshima...kandambili apate kipigo cha nguvu!!! Update muhimu ili sote tucheze & kuimba kidedea...
 
haya sasa ngasa mtafute mgosi goli la 15 hiloooooooooooooooooooooooo bonge la bao la mgosi


simba 2 yanga 1 okwi kaingia badala ya baraza
 
wisdom ndlovu kapewa red card kwa mchezo mchafu

leo zamu yao watani kuwa pungufu
 
matamb thanks kwa update kaka duh moyo sasa unatulia kidogo ha ha
 
simba wamekosa nafasi mbili za wazi kabisa kwa kweli wanaanza kunikera hawa simba
 
jamani mwali nndo analetwa uwanjani



goooooooooooooooooooooooooo mgosiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kauaaaaaaaaaaaaaaaa la tatuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
jamani rahaaaaaaaaaaaaaa utamuuuuuuuuuuuuuuu mgosi ametuchangamsha tena
ilikuwa krosi tamu sana ya okwi

kumbuka ni goli la 16 la mgosi
 
amri maftah kampiga mtu kipepsi kapigwa kadi nyekundu


yanga wanacheza utafikiri timu ya mchangani bwana!!!

sijui wanatuonea gere wanataka kutuumizia wachezaji?
 
kaseja ndo kaharibu


wamesawazisha ujinga kabisa


yanga 3 simba 3
 
hii mechi sijui imepangwa?

utafikiri ile mechi ya mwaka 1996 kule sheikh amri abeid mechi ilipoisha 4-4
 
hayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

simba ni nneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

wewreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

joseph owino kapiga la nneeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom