Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbumbumbu nani kama sio ninyi mnaotoa taarifa zangu kisha kuomba msamahaMbumbumbu katika mambo ya ki mbumbumbu wanadhihirisha u mbumbumbu wao kwa hakika Lage aliwapa jina mujarabu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
GwanjiHili povu sijui LA sabuni gani?
Chama si alisajiliwa July 2018 ... Kabakisha miezi mingapi !!?? Inavuka 6!!??Mi naona kama mwakalebela kaogopa naye kwakutojua sheria.Maana sheria ina sema hailuhusu kuongea na mchezaji akiwa kwenye mkataba mpaka upate ruhusa ya timu.yeye mwakalebela hajaongea na mchezaji wala wakala.yeye kaamua kuleta uzushi tu au tetesi ambazo hazina uwakika.maana hata wakienda fifa sijui watatumia sheria gani au kanuni ipi..au kuna kanuni au sheria inayokataza uzushi kutoka club nyengine.
Ndugu Mbumbumbu, Alichokiri Mwakalebela si kuongea na Chama. Mwakalebelela amekiri kufanya Utani ambao simba hawaku furahishwa nao.Ktk watu wapumbavu wewe ni jemedari wao hivi kuna ushahidi mkubwa kuliko wa mkosaji mwenyewe anapokiri kosa.sasa kama hakufanya kosa kwa nini aliomba radhi,na mwanasheria wake ulikuwa wapi kumshauri asifanye hivyo kwa kuwa hakuna ushahidi!!!
Kwa vile utopolo fc si mara yenu ya kwanza kukiuka taratibu za usajili mlishafanya hivyo mara nyingi wakati wa malinzi na siku zote mazoea hujenga tabia naunga mkono hoja lazima hatua kali zichukuliwe dhidi yenu ili iwe mfano kwa viongozi wenu siku zijazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kama Manji alikuwa kada wa CCM na diwani wa CCM?Minyero fc hakuna kesi hapo na Mwakalebela ni kada wa CCM...Yanga ni serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania(Nyerere na Karume)
Yawezekana ni Covima - 20 iliyolipuka tarehe 8 Machi, 2020 pale Main Stadium Dar. Natania tu Mkuu!
Pamoja na kuwa mimi sipo huko UTOPOLONI, nimemshangaa Mwakalebela, kujishusha kwetu kwa kiasi kile.Mwakalebela kajifunga mwenyewe
Nyie vyura tulieni dawa iwaingie...tukutane TFF kama tuna ushahidi au hatunaNajua Haji Manara ni mbumbumbu ki asili na kilaza pia, ila Sikutegemea Senzo ambaye mtendaji mkuu na tuliaminishwa ni msomi na mtaalamu katika soka kuiandika Tff barua yenye lalamiko la Mwakalebela kuzungumza na Chama.
Kweli alijiridhisha kulingana na sauti za Mwakalebelela au Chama zinaweza zikawapa matokeo chanya kwenye dhumuni/malalamiko yao? Au alimwachia Haji Manara ambaye by profession ni mwalimu wa Madrasa aandae iyo barua ya kwenda Tff na yeye Senzo kapiga mhuri bila kuisoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako Haina akili, unaleta uvyama hapa watu wanaongelea sheria, ww unaileta ccm hapa acha uchochezi kwa hiyo serikal au ccm ndio ilimtuma mwakalebela?Minyero fc hakuna kesi hapo na Mwakalebela ni kada wa CCM...Yanga ni serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania(Nyerere na Karume)
Simba hiyohiyo ndio ilifungwa mbele ya hao unaowaita jemedari. Wananchi hatuangalii mtu. Tunachapa tu!SAKATA LA CHAMA: MWAKALEBELA AWAOMBA RADHI SIMBA
Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela ameomba radhi kufuatia kauli yake kuwa ameshaanza mazungumzo na kiungo wa Simba, Clatous Chama.
Mwakalebela amesema alitoa kauli hiyo kama sehemu ya utani wa jadi dhidi ya Simba baada ya kuwepo kwa taarifa kuwa watani zao hao wanamuwinda kiungo wao, Papy Tshishimbi.
Katibu Mkuu huyo wa zamani wa TFF, amesema hajazungumza chochote na mchezaji huyo kuhusu usajili, na kama angekuwa na nia hiyo angefuata utaratibu, kwa kuwa yeye kiongozi wa juu mwenye weledi katika soka.
“Kiukweli na uhalisia mchezaji huyo sijazungumza naye… Kwa kuwa hapa katikati tumekuwa na mazungumzo ya utani kati yetu na wenzetu wa Simba… walikuwa wakieleza kuwachukua wachezaji wetu kama Tshishimbi basi na mimi nikaona niseme jambo”
“Inaonekana jambo hili nimelizungumza limevuka mipaka basi natumia fursa hii kuiomba msamaha Simba, TFF na wenzangu wa Yanga. Labda nilizidisha utani naamini kabisa jambo kama hili halitaweza kutokea tena kwangu”, amesema Mwakalebela.
Mapema leo kupitia #WasafiFM Msemaji wa Simba, Haji Manara alisema wataishtaki Yanga TFF kwa kuvunja utaratibu wa kuzungumza na mchezaji wao ambaye bado ana mkataba nao hadi Julai 2021.
GENTAMYCINE nawaonya na nawaambia Simba Sports Club yangu mapema kabisa hapa hapa JamiiForums na naomba aliye na ' access ' na Msemaji wa Simba SC au Mwekezaji wetu Mohammed Dewji au Mwenyekiti wetu wa Wanachama Mwina Seif Kaduguda ' awafowadie ' hili bandiko langu haraka sana.
Nina sababu zangu Kuu kadhaa za kutotaka huyu ' Mpuuzi ' Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela asisamehewe kabisa kama zifuatazo:
1. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana alikuwa akizungumza kwa Kuidharau mno Simba SC
2. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana hata ' Body Language ' yake ilijaa Kudhamiria jambo fulani na hakuwa akitania hata kidogo
3. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana alikuwa akimaanisha kuwa Yanga SC wanajua Sheria na Utaratibu wa Kimpira duniani kuliko Simba SC, TFF, CAF na FIFA
4. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana alikuwa akitaka Kuonyesha Jeuri na Ubabe wa Yanga SC yake ndani ya Soka la Tanzania
5. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana alikuwa akionyesha kuwa Yanga SC yake kwa Makusudi kabisa ndiyo ilimtuma kufanya Upumbavu ( Upopoma ) ule
6. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana alikuwa akitaka Kuuaminisha Umma kuwa Yanga SC ni Timu isiyogusika na isiyotishika na yoyote yule na kwa lolote lile
7. Alipokuwa akizungumza na Vyombo vya Habari jana alikuwa akionyesha kuwa Yanga SC ipo zaidi Kivita ( Kiuadui ) na Kukomoana na Simba SC lakini siyo kwa ile dhana ya FIFA ya FAIR PLAY hivyo aliidharau Simba SC
Wapumbavu hawa walianza hii Michezo yao ya ' Kipuuzi ' kwa Kelvin Yondan, Mbuyi Twite na sasa walitaka Kuurudia kwa Clatous Chota Chama wakidhani kuwa Serikali ya sasa hivi na Uongozi wa sasa wa TFF ni ule ule waliouzoea wa Mshabiki Wao Mkuu Rais Mstaafu Kikwete na aliyekuwa Rais wa TFF Malinzi wakasahau kuwa Tanzania ya sasa ipo chini ya Jemedari Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Nawaomba Simba SC kupitia Viongozi hao niliowataja hapo juu bila Kumsahau CEO Wetu ' makini ' Senzo Mazingisa wamchukulie hatua Kali kabisa Makamu Mwenyekiti huyu ' Mpuuzi ' wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela kwa Kumshtaki TFF kisha CAF na hatimaye FIFA pamoja na Klabu yake ya Yanga SC ili iwe Fundisho na tuweze Kuheshimiana.
Simba SC tunapenda mno Utani lakini siyo Utani huu wa Kipumbavu ambao kama ukiendelea kuachwa au kuchekewa kwa Asili na Uhalisia wa Mashabiki wake kuna Siku ' Dhahama ' kubwa itakuja kutokea nchini Tanzania. Na leo nimeamini rasmi ni kwanini hata CCM hawakumkubali Mwakalebela huko Iringa lakini pia hata wana Yanga SC wengi wenye Akili nao hawajawahi Kumkubali.
Simba Sports Club hii ya CEO Mweledi kabisa na Mwekezaji Mohammed Dewji siyo ya Kuchezewa chezewa hivi. Kudadadeki!
Chama ni Mzambia sio mbongo anajua kwamba leo yupo mikia kesho yupo kwingine. Hamuwezi kupata ushahidi wowote hapo. Mwakalebela msomi hamumuwezi. Yanga ina wasomi sio mikia mbumbumbu watupu?Naunga mkono hoja Lazima tuweke precedence ya kueleweka katika mambo ya hovyo kama haya yanga ichukuliwe hatua Kali sana ili iwe fundisho...Hakukuwa na utani katika maneno yake hata kidogo sbb hata chama mwenyewe juzi wakati yuko insta live nilimsikia na kuona body language yake wakati akijibu swali la mmoja wa mashabiki wa simba ambae alifanya nae video call kuwa kama ana mpango wa kwenda yanga na yy akajibu kuwa Hawezi kukataa ama kukubali japo Baadae akasema mm nipo simba Lkn kwa mtu makini ukimsikiliza na kumuangalia uta note something going on...so plz simba hili halitakiwi lipite hivihivi
Hao mikia ni wanafiki. Wakati wa uchaguzi 2015 ndio walikuwa wanazungusha mikono kushabikia mabadiliko ya Lowassa sasa eti wao ni ccm,ajabu!Akili yako Haina akili, unaleta uvyama hapa watu wanaongelea sheria, ww unaileta ccm hapa acha uchochezi kwa hiyo serikal au ccm ndio ilimtuma mwakalebela?
Sent using Jamii Forums mobile app