Simba Sports Club yangu ole wenu ' Mumsamehe ' Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela nitawalaani na kuwachukieni Milele

Chama si alisajiliwa July 2018 ... Kabakisha miezi mingapi !!?? Inavuka 6!!??
 
Mnajihangaisha bure kuhangaika na hizi timu Simba na yanga zisizo na mwelekeo wowote kisoka nchini ........
 
Ndugu Mbumbumbu, Alichokiri Mwakalebela si kuongea na Chama. Mwakalebelela amekiri kufanya Utani ambao simba hawaku furahishwa nao.
Ki uhalisia hakukua na tendo lolote/ mchakato wowote wa usajili, Mchezaji husika Chama ana thibitisha kupitia sautiyake kwamba mwakalebelela haongei ukweli, kwakua hajawai kuongea naye habari za uhamisho.
Kwa hali kama iyo inaonekana alichofanya Mwakalebela ni kusababisha taharuki kwa Mbumbumbu fc na ni jambo alilo fanikiwa.
Hitimisho, Kulingana na ushahidi wa kimazingira linaonyesha ni kweli hakukua na mazungumzo yoyote wala nia yoyote ya usajili zaidi ya utani wa jadi ambao mbumbumbu fc kupitia msemaji wao kuonyesha ku panic.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikiliza dodo ya ali kiba ndugu mleta uzi

Sent using OnePlus 6T Maclaren Edition
 
Minyero fc hakuna kesi hapo na Mwakalebela ni kada wa CCM...Yanga ni serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania(Nyerere na Karume)
Umesahau kama Manji alikuwa kada wa CCM na diwani wa CCM?
 
Mwakalebela kajifunga mwenyewe
Pamoja na kuwa mimi sipo huko UTOPOLONI, nimemshangaa Mwakalebela, kujishusha kwetu kwa kiasi kile.
Hivi, tuna ushahidi wa hao jamaa kuongea na Chama? Maanake sisi ndio ambao tutatakiwa kutoa ushahidi! Kama maneno tu ya klabu kuongea tu kuwa tumeongea/tutamsajili mchezaji fulani tunahangaika na kupoteza muda ki hivi, basi nadhani MANCHESTER UNITED wangekuwa wana kesi kila kukicha. Kwa mwaka, huwa wanatangaza kusajili zaidi ya wachezaji 30,wakati ni "UTANI" tu!
Hiyo kesi, TUTASHINDWA ASUBUHI TU!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maneno mengi yasiyo na maana yamejaa matusi matupu basi nenda katoe adhabu kwa Mwakalebela halafu ni kutojua mambo eti Mwakalebela CCC hawamtaki hizi ni porojo na Yanga wanampenda Mwakalebela kutokana na misimamo yake wewe si umepeleka suala lako TTF nyamaza wacha waangalie kanuni ipi imevunjwa matusi na kejeli havukusaidii wewe unapenda kuitania Yanga wewe ukiguswa kidogo povu jingo
 
Si kwelli kwamba CCM hawamtaki Mwakalebela ni ufinyu wa kujua mambo Iringa CCM wanampenda Mwakalebela
 
Najua Haji Manara ni mbumbumbu ki asili na kilaza pia, ila Sikutegemea Senzo ambaye mtendaji mkuu na tuliaminishwa ni msomi na mtaalamu katika soka kuiandika Tff barua yenye lalamiko la Mwakalebela kuzungumza na Chama.

Kweli alijiridhisha kulingana na sauti za Mwakalebelela au Chama zinaweza zikawapa matokeo chanya kwenye dhumuni/malalamiko yao? Au alimwachia Haji Manara ambaye by profession ni mwalimu wa Madrasa aandae iyo barua ya kwenda Tff na yeye Senzo kapiga mhuri bila kuisoma?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie vyura tulieni dawa iwaingie...tukutane TFF kama tuna ushahidi au hatuna
 
Minyero fc hakuna kesi hapo na Mwakalebela ni kada wa CCM...Yanga ni serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania(Nyerere na Karume)
Akili yako Haina akili, unaleta uvyama hapa watu wanaongelea sheria, ww unaileta ccm hapa acha uchochezi kwa hiyo serikal au ccm ndio ilimtuma mwakalebela?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Issue ya David ni kama barafu. Tusubiri jua liwake ikiwa nje ya jokofu.
 
Simba hiyohiyo ndio ilifungwa mbele ya hao unaowaita jemedari. Wananchi hatuangalii mtu. Tunachapa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama ni Mzambia sio mbongo anajua kwamba leo yupo mikia kesho yupo kwingine. Hamuwezi kupata ushahidi wowote hapo. Mwakalebela msomi hamumuwezi. Yanga ina wasomi sio mikia mbumbumbu watupu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili yako Haina akili, unaleta uvyama hapa watu wanaongelea sheria, ww unaileta ccm hapa acha uchochezi kwa hiyo serikal au ccm ndio ilimtuma mwakalebela?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mikia ni wanafiki. Wakati wa uchaguzi 2015 ndio walikuwa wanazungusha mikono kushabikia mabadiliko ya Lowassa sasa eti wao ni ccm,ajabu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…