Simba sports vs Majimaji, Songea leo tarehe 4.2.2017

Kansigo

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
2,670
Reaction score
2,156
karibuni mwenye update arushe

Simba imeshinda mechi hiyo kwa magoli matatu kwa bila

===========

Full Time : Majimaji 0 - Simba 3

88' Laudit Mavugo anafunga goli la 3

63' Said Ndemla anaifungia Simba goli la 2

Kipindi cha pili kinaanza sasa

Mapumziko sasa: Majimaji 0 - Simba 1

19' Salum Migomba anaipatia Simba goli la kwanza

10' Bado mpaka sasa hamna timu iliyouona mlango wa mwenzake

Mpira umeanza sasa
 
Uwanja mbovu sana asee..mpira hauna hata radha ya kuangalia..
 
Hatimaye Simba wamepata goli 1, majimaji 0
 
Kuna watu wakisikia simba wanatamani kutapika kama sio kujinyonga ..tena kama hivi wanaongoza kwa bao 1 ndo kabisaa mtu anataka anywe sumu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…