Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli wameshakaa KILELENI hata simba akishinda leoYanga mtakaaa,tu Mungu si John!
Yaani wamesamehe goli nne za waziWanalizombe wamechukua mlungula nn?
Asanteni sana majimaji kwa kujaHatimaye simba wanyakua goli la pili. Hongereni sana.
Jamaa wa njano na kijani walishinda mechi 2 wakaona ubingwa wa kwao. Hii inaitwa vita ya panya na pakaSimba anajilia kiteweo chake..
Viva Simba
Mkuu naona umepata nguvu ya kufungua tundu la chooo! Utaharibu hali ya hewa take care.Jamaa wa njano na kijani walishinda mechi 2 wakaona ubingwa wa kwao. Hii inaitwa vita ya panya na paka
wote wajanja atakaelala kidogo imekula kwake ....
Wewe ni Ndala FC tu... bila kununua mechi huwezi kuishinda hata Timu ya BungeTopeni 1 maji o
I will dont worry.Mkuu naona umepata nguvu ya kufungua tundu la chooo! Utaharibu hali ya hewa take care.
Mkuu!...... Upo vizuri sana na lugha hii ya malkia.I will dont worry.
Penaaaaaaat..Jamaa wa njano na kijani walishinda mechi 2 wakaona ubingwa wa kwao. Hii inaitwa vita ya panya na paka
wote wajanja atakaelala kidogo imekula kwake ....