Simba sports vs Majimaji, Songea leo tarehe 4.2.2017

Simba sports vs Majimaji, Songea leo tarehe 4.2.2017

Mkuu naona umepata nguvu ya kufungua tundu la chooo! Utaharibu hali ya hewa take care.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka sana.
Kuna watu mnajua namna ya kufikisha ujumbe kwa siri sana.
 
Naona.maneno.ya kejeli na maneno ya karaha kisa furaha ya ushindi ...kama ni ushabiki ushabiki uwe na mipaka ...kama unanitukana ama unanikejeli mimi ama mwingine kisa simba unapoteza.muda wako...ushabiki ni furaha na kuheshimiana na utani usiokua na kejeli na dhihaka ...ukinikejeli.mimi haunipunguziii mimi miaka ya kuishi wala kusema kwamba ntakaa nalia ama nasikitika.
 
Back
Top Bottom