Jamaa alikuwa anawaotea sana Jangwani.
.
.
Malota Soma
Dua Said
Damian Kimti
.
.
.
Kikosi cha Simba cha sasa hivi kinanikumbusha timu ya kipindi cha nyuma cha Wekundu wa Msimbazi wakati ndio mpira unapigwa kihuakika. Ongeza wengine tujikumbushe soka lilivyokuwa tamu. Hata watani Yanga mnaruhusiwa kuweka Maveterani wenu hapa.
Mohamed Mwameja
Kasongo Athumani
Alphonce Modest
Deo Mkuki
George Masatu
Hussein Masha
Lenny Ramadhani
Edward Chumila
Malota Soma
Dua Said
Damian Kimti
Nteze John
Thomas Kipese
George Lucas
Na wengine wengi
Kikosi cha Simba cha sasa hivi kinanikumbusha timu ya kipindi cha nyuma cha Wekundu wa Msimbazi wakati ndio mpira unapigwa kihuakika. Ongeza wengine tujikumbushe soka lilivyokuwa tamu. Hata watani Yanga mnaruhusiwa kuweka Maveterani wenu hapa.
Mohamed Mwameja
Athumani Mambosasa
Mohamed Kajole
Kasongo Athumani
Alphonce Modest
Deo Mkuki
George Masatu
Hussein Masha
Lenny Ramadhani
Edward Chumila
Malota Soma
Dua Said
Damian Kimti
Nteze John
Thomas Kipese (huyu yanga)
George Lucas
Kaniki
Na wengine wengi
Walikuwepo akinaumemsahau Zamoyoni Mogela
Walikuwepo akina
Abdul Ramadhan Mashine...
Micheal Paul (Nylon)
Mustafa Hoza
Bakari Iddi
Joseph Katuba
Mavumbi Omar...Goli lake 1990 la umbali wa mita 40 dhidi ya makandambili..YY
Madaraka Selemani
Iddi Selemani
Ilikuwa tishio....
Mkuu Simba ya sasa nzuri lakini tunahitaji uongozi ulio makini sio hawa wanaopigana na wachezaji au kufanyia mabasi ya timu biashara ya daladala. Uongozi ukitulia nakwambia hata kwenye mechi za kimataifa tutafanya vizuri sana.Msiwasahau:
Twaha Hamidu
Selemani pembe
Mbuyuni yondani
David Mihambo
Yaani kipindi hicho asubuhi siku ya mechi umeshajua first eleven..
hata hii tulio nayo ninzuri labda tuanze migogoro yetu.. lakini wana simba umeshukua kadi?
Nakumbuka wakati huo siku ya mechi za Simba na Yanga ushabiki ulikuwa wa halia ya juu, tuliokuwa mikoani toka saa nane tumekaa kwenye radio zetu tunasubiri game ianze. Kusema kweli siku hizi msisimko wa mpira wa miguu umepungua kwa kiasi fulani na baaada ya kuwa na wachezaji wavuta bangi na wapenda ngono ndio kabisa mpira bongo umeshuka! Nwaya naona makocha wa kigeni wameleta mabadiliko kidogo hasa kwenye nidhamu ya ndani na nje ya dimbaWalikuwepo akina
Abdul Ramadhan Mashine...
Micheal Paul (Nylon)
Mustafa Hoza
Bakari Iddi
Joseph Katuba
Mavumbi Omar...Goli lake 1990 la umbali wa mita 40 dhidi ya makandambili..YY
Madaraka Selemani
Iddi Selemani
Ilikuwa tishio....
Uchaguzi Desemba 2009.. Tweni tukashague viongozi walio makini watakao weka masirahi ya club mbele na siyo matumbo yao..Mkuu Simba ya sasa nzuri lakini tunahitaji uongozi ulio makini sio hawa wanaopigana na wachezaji au kufanyia mabasi ya timu biashara ya daladala. Uongozi ukitulia nakwambia hata kwenye mechi za kimataifa tutafanya vizuri sana.
Uchaguzi Desemba 2009.. Twendeni tukachague viongozi walio makini watakao weka masirahi ya club mbele na siyo matumbo yao..Mkuu Simba ya sasa nzuri lakini tunahitaji uongozi ulio makini sio hawa wanaopigana na wachezaji au kufanyia mabasi ya timu biashara ya daladala. Uongozi ukitulia nakwambia hata kwenye mechi za kimataifa tutafanya vizuri sana.
naona ushabiki umeanza kurudi mfano nimesikia simba wanaomba watumie uwanja wa taifa kwenye mechi zao kwasababu wanapata watazamaji wengi mno.. nakumbuka mechi moja ilichezwa Zanzibar simba ikashinda kwa penati kunawatu walitembea uchi ile midadi tu maana gemu ilichezwa usiku mchezajia wa yanga akakosa penati weeeeee watu wengine walisahau kuvaa nguo, nakunajaama alifirisika kwa sababu ya hiyo mechi alikuwa na kimgahawa sasa baada ya simba kushinda siakawa karibisha wapenzi wote wa simba ilikula kwake mazima...waliochangia soka kuanza kurudisha enzi zake ni Uongozi wa TFF si makocha wa kigeni tu soka sasa hivi ni biashara/kazi tofauti na kipindi cha kina Ndolanga yaani kulikuwa ni malumbano FAT,simba,Yanga,BMT na Wizara ya Michezo.. Nakumbuka Safari lager walijitoa udhamini wa ligi kwa ubishani wa kitoto baada ya kuingiliwa na mzee mzima kapuya..Nakumbuka wakati huo siku ya mechi za Simba na Yanga ushabiki ulikuwa wa halia ya juu, tuliokuwa mikoani toka saa nane tumekaa kwenye radio zetu tunasubiri game ianze. Kusema kweli siku hizi msisimko wa mpira wa miguu umepungua kwa kiasi fulani na baaada ya kuwa na wachezaji wavuta bangi na wapenda ngono ndio kabisa mpira bongo umeshuka! Nwaya naona makocha wa kigeni wameleta mabadiliko kidogo hasa kwenye nidhamu ya ndani na nje ya dimba
vitabia hivi bado vipo...kipindi ambacho kama Ndolanga/MAXIMO hampendi mchezaji basi mchezaji huyo alikuwa hachezei timu ya Taifa mpaka ajute
ila kweli Mkuu kwa mfano Shabaani Dihile v/s Juma K. Jumavitabia hivi bado vipo...
hao wenye nyekundu wote walikuwa wanaza kwenye first eleven ya taifa stars,aliyekuwa anaongezeka ni edibily lunyamila tu kutoka yanga.
yaani simba ya ezi za popadic,we acha tu
Nakumbuka wakati huo siku ya mechi za Simba na Yanga ushabiki ulikuwa wa halia ya juu, tuliokuwa mikoani toka saa nane tumekaa kwenye radio zetu tunasubiri game ianze. Kusema kweli siku hizi msisimko wa mpira wa miguu umepungua kwa kiasi fulani na baaada ya kuwa na wachezaji wavuta bangi na wapenda ngono ndio kabisa mpira bongo umeshuka! Nwaya naona makocha wa kigeni wameleta mabadiliko kidogo hasa kwenye nidhamu ya ndani na nje ya dimba
hao wenye nyekundu wote walikuwa wanaza kwenye first eleven ya taifa stars,aliyekuwa anaongezeka ni edibily lunyamila tu kutoka yanga.
yaani simba ya ezi za popadic,we acha tu