Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 95
- Thread starter
- #41
Wewe unaandika kitu gani bwana hapa, soka la bongo liko mbele kiasi kikubwa sana. Jaribu kuangalia timu zote zinavyofanya usajili kuwa sio wa soka la ridhaa tena bali ni soka la kulipwa. Wewe unaelewaje soka la kulipwa? Mpaka liwe kama la Premier-England, Primera La Liga na kwingineko? Kwa level ya kwetu this is typical proffessional football.msitumie vichwa kubebea masikio.
Hiyo simba inayoongoza kwa ubora iko ktk soka la ridhaa na si la kulipwa...so viwango vyake ni sawa na kariakoo lindi, mji mpwapwa na uharo kama huo.