Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,651
Nilikuta kwenye tawi moja na kunakili hii1st eleven iliyoifunga Yanga 6-0 kwenye mechi ya fainali na kutwaa ubingwa wa TZ. Nadhani hii ndiyo tuitambue kama best 11ya SSC ever
Omar Mahadhi
Shaban Baraza
Mohamed Kajole
Athuman Juma
Mohammed Bakari Tall
Omar Gumbo
Willy Mwaijibe
Khalid Hillal
Jumanne Hassan
Abdallah Kibaden
Abbas Dilunga