Ukiangalia mechi vizuri Simba tuliwadharau RAJA mpango kazi wa kucheza nao ukawa kama tuncheza na ruvu. Haiwezekeni ucheze na RAJA uaache magap nyuma na ktkt makubwa namna ile. SImba tubadilike namna ya kucheza na wapinzani.
Katika palikufa kabisa kwa sbb saido ilibdi awe anakuja kukaba chini na inaonyesha mzamiru bila kanoute haonekani.
Simba tujiandae pia kule Uganda. Ukiangalia mechi ya VIPERS vs HOROYA horoya waliweka watu watano ktktk kwa hiyo tujipange mpango kazi uwe mzuri...
SIMBA KAZI TUNAYO MWAKA HUU