Hebu acheni utoto shida ya Simba sio mbinu tu hata quality ya wachezaji ni ndogo pia, sawa dogo, Baleke,sakho, mzamiru.
Mbaya zaidi kocha akaingia na aina ya wachezaji wengi ambao msaada wao kwenye timu ni pale inashambulia Ila ikishambuliwa hawana msaada.
Chama
Saido
Sakho
Bocco.
👆Hao juu kwa kocha mwenye uwezo wakusoma adui yake hawezi kuwaweka wote wakati mmoja, watakupa 80% timu ikiwa na mpira na watakupa 35%timu ikiwa haina mpira ndio maana juzi viungo wa Simba walizidiwa haswa.