CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Team kupewa maelekezo ya kuvunja wachezaji wa simba siyo hjuma? ile jan ni rasharasha nasikia wmegombezwa baada ya kuonekana watu hawajavunjika vizuri, unatka tusilalamike? yaani plan ni kwamba hadi mwisho wa msimu simba isiwe na wachezaji fit zaidi ya watanoYaani leo Simba ndio wamegeuka wa kulalamika lamika hujuma. Kweli maisha yanaenda kasi sana.
Ni wapi umeyasikia hayo maelekezo? Ni nani aliyatoa hayo maelekezo? Yaani leo hii ndio zipewe maelekezo ya kuvunja miguu kwani Simba imeanza kung'aa leo hii au ndio mafanikio yao yameanza mwaka huu mpaka yatolewe maelekezo ya kuvunjwa miguu? Msimu ulioisha timu za kutoka majeshi zilipiga sana viatu inapokutana na timu kubwa lakini kwavile Simba ilikuwa kwenye muendezo mzuri wa matokeo hamkupiga kelele ila kwavile msimu huu mnacheza mpira usioleweka basi mmegeuka walalamikaji wakubwaTeam kupewa maelekezo ya kuvunja wachezaji wa simba siyo hjuma? ile jan ni rasharasha nasikia wmegombezwa baada ya kuonekana watu hawajavunjika vizuri, unatka tusilalamike? yaani plan ni kwamba hadi mwisho wa msimu simba isiwe na wachezaji fit zaidi ya watano
Tulia kijana mambo mengine si saizi yakoNi wapi umeyasikia hayo maelekezo? Ni nani aliyatoa hayo maelekezo? Yaani leo hii ndio zipewe maelekezo ya kuvunja miguu kwani Simba imeanza kung'aa leo hii au ndio mafanikio yao yameanza mwaka huu mpaka yatolewe maelekezo ya kuvunjwa miguu? Msimu ulioisha timu za kutoka majeshi zilipiga sana viatu inapokutana na timu kubwa lakini kwavile Simba ilikuwa kwenye muendezo mzuri wa matokeo hamkupiga kelele ila kwavile msimu huu mnacheza mpira usioleweka basi mmegeuka walalamikaji wakubwa
Hatulalamiki Bali tunaeleza uhalisia jinsi ulivyo.Yaani leo Simba ndio wamegeuka wa kulalamika lamika hujuma. Kweli maisha yanaenda kasi sana.
Sanaaa,yaani mechi moja tu wachezaji muhimu 3 wanatolewa kwa kuchezewa rafu mbaya halafu mipumbavu inaona sawa tu,huo sio mpira,ni vita kabisa aiseePoleni sana na inasikitisha sana...
Unatapa tapa sana. Na utatapa tapa sana safari hiiTulia kijana mambo mengine si saizi yako
Utopolo wanapenda kujisauhulisha,ushindi wa mechi mbili tu, sa hivi wamemsahau Manara na engeneer anaewaletea magalasaKwamba simba ajenge timu ilihali utopolo timu ipo organized na ubingwa upo njenje mnakaribia kuubebelea si ndio? Ngoja baada ya mechi 10 kama hamtaanza kusema nabi hatufai apishe, yetu macho!
Kuna gharasa zaidi ya Mugalu mnaemlalamikia kuwakosesha ushindi?Utopolo wanapenda kujisauhulisha,ushindi wa mechi mbili tu, sa hivi wamemsahau Manara na engeneer anaewaletea magalasa
Vipi na kwenye ile ngao ya jamii tulitoa mzigo kiasi gani? Maana lile shuti la Fiston Mayele, Aishi Manula alikua na uwezo kabisa wa kulikamata.Wawachezee rafu gani wakati mliwapa muamala, mpaka wakawazawadia goli.
Hakuna beki anaweza fanya ujinga alioufanya beki wa Kagera siku ile, lile goli ni la Chupli chupli.
😂😂kwa iyo ushindi wa mechi mbili mmeshajiaminisha mna kikosi kipana na ubingwa wenu.Mnapenda kujisahaulisha,niwakumbushe hamna tofauti na msimu uliopita mlianza kwa bwebwe na kuongoza Ligi,Sa hivi kila mtu anajua nini kilitokeaKuna gharasa zaidi ya Mugalu mnaemlalamikia kuwakosesha ushindi?
wanasahau mapema sana mwaka jana simba alikaziwa na ihefu akashinda kwa tabu akatoa draw na mtibwa mechi mbili za kwanza kulikuwa na kelele zaidi ya hiziUtopolo wanapenda kujisauhulisha,ushindi wa mechi mbili tu, sa hivi wamemsahau Manara na engeneer anaewaletea magalasa
Narudia kukwambia tena, kama mlivyojiapisha kuwa mtachukua kombe mpaka hapo Kayafa atakapoondoka Madarakani basi mjue kuwa msimu uliopita ndio mwisho wenu wa kuchukua ubingwa. Hivi sasa ni zamu ya Mabingwa wa kihistoria kuendeleza pale alipoishia.[emoji23][emoji23]kwa iyo ushindi wa mechi mbili mmeshajiaminisha mna kikosi kipana na ubingwa wenu.Mnapenda kujisahaulisha,niwakumbushe hamna tofauti na msimu uliopita mlianza kwa bwebwe na kuongoza Ligi,Sa hivi kila mtu anajua nini kilitokea
Mnaanza kuleta historia sasawanasahau mapema sana mwaka jana simba alikaziwa na ihefu akashinda kwa tabu akatoa draw na mtibwa mechi mbili za kwanza kulikuwa na kelele zaidi ya hizi
mkuu unahaha kiungo cha chini na juu nyuzi zote za utopolo nakuona unaupiga mwingiMnaanza kuleta historia sasa
Tumewazoea na mpira wa manenoNarudia kukwambia tena, kama mlivyojiapisha kuwa mtachukua kombe mpaka hapo Kayafa atakapoondoka Madarakani basi mjue kuwa msimu uliopita ndio mwisho wenu wa kuchukua ubingwa. Hivi sasa ni zamu ya Mabingwa wa kihistoria kuendeleza pale alipoishia.
Jamaa anajifanya haoni hii quote.
UNATAKA UHURUMIWE?Peleka wachezaji wako ligi ya wanawake.Huwezi linganisha kinachofanyika mwaka huu na kilichofanyika mwaka wowote ule
Mwaka huu kuna maagizo kabisa kwamba wachezaji wa simba kila mechi atleast wawili WAJERUHIWE VIBAYA IKIBIDI KUWA VILEMA
YAANI HADI MSIMU UNAISHA SIMBA ITAKUWA IMEBAKI NA WACHEZAJI WATANO WENYE AFYA NJEMA, HUO NDIYO UANA MICHEZO?
View attachment 1959922
Na nyie toeni maagizoHuwezi linganisha kinachofanyika mwaka huu na kilichofanyika mwaka wowote ule
Mwaka huu kuna maagizo kabisa kwamba wachezaji wa simba kila mechi atleast wawili WAJERUHIWE VIBAYA IKIBIDI KUWA VILEMA
YAANI HADI MSIMU UNAISHA SIMBA ITAKUWA IMEBAKI NA WACHEZAJI WATANO WENYE AFYA NJEMA, HUO NDIYO UANA MICHEZO?
View attachment 1959922