Simba tengenezeni timu acheni porojo zisizokuwa na maana

Yaani leo Simba ndio wamegeuka wa kulalamika lamika hujuma. Kweli maisha yanaenda kasi sana.
Team kupewa maelekezo ya kuvunja wachezaji wa simba siyo hjuma? ile jan ni rasharasha nasikia wmegombezwa baada ya kuonekana watu hawajavunjika vizuri, unatka tusilalamike? yaani plan ni kwamba hadi mwisho wa msimu simba isiwe na wachezaji fit zaidi ya watano
 
Ni wapi umeyasikia hayo maelekezo? Ni nani aliyatoa hayo maelekezo? Yaani leo hii ndio zipewe maelekezo ya kuvunja miguu kwani Simba imeanza kung'aa leo hii au ndio mafanikio yao yameanza mwaka huu mpaka yatolewe maelekezo ya kuvunjwa miguu? Msimu ulioisha timu za kutoka majeshi zilipiga sana viatu inapokutana na timu kubwa lakini kwavile Simba ilikuwa kwenye muendezo mzuri wa matokeo hamkupiga kelele ila kwavile msimu huu mnacheza mpira usioleweka basi mmegeuka walalamikaji wakubwa
 
Tulia kijana mambo mengine si saizi yako
 
Kwamba simba ajenge timu ilihali utopolo timu ipo organized na ubingwa upo njenje mnakaribia kuubebelea si ndio? Ngoja baada ya mechi 10 kama hamtaanza kusema nabi hatufai apishe, yetu macho!
Utopolo wanapenda kujisauhulisha,ushindi wa mechi mbili tu, sa hivi wamemsahau Manara na engeneer anaewaletea magalasa
 
Wawachezee rafu gani wakati mliwapa muamala, mpaka wakawazawadia goli.

Hakuna beki anaweza fanya ujinga alioufanya beki wa Kagera siku ile, lile goli ni la Chupli chupli.
Vipi na kwenye ile ngao ya jamii tulitoa mzigo kiasi gani? Maana lile shuti la Fiston Mayele, Aishi Manula alikua na uwezo kabisa wa kulikamata.
 
Kuna gharasa zaidi ya Mugalu mnaemlalamikia kuwakosesha ushindi?
😂😂kwa iyo ushindi wa mechi mbili mmeshajiaminisha mna kikosi kipana na ubingwa wenu.Mnapenda kujisahaulisha,niwakumbushe hamna tofauti na msimu uliopita mlianza kwa bwebwe na kuongoza Ligi,Sa hivi kila mtu anajua nini kilitokea
 
Utopolo wanapenda kujisauhulisha,ushindi wa mechi mbili tu, sa hivi wamemsahau Manara na engeneer anaewaletea magalasa
wanasahau mapema sana mwaka jana simba alikaziwa na ihefu akashinda kwa tabu akatoa draw na mtibwa mechi mbili za kwanza kulikuwa na kelele zaidi ya hizi
 
[emoji23][emoji23]kwa iyo ushindi wa mechi mbili mmeshajiaminisha mna kikosi kipana na ubingwa wenu.Mnapenda kujisahaulisha,niwakumbushe hamna tofauti na msimu uliopita mlianza kwa bwebwe na kuongoza Ligi,Sa hivi kila mtu anajua nini kilitokea
Narudia kukwambia tena, kama mlivyojiapisha kuwa mtachukua kombe mpaka hapo Kayafa atakapoondoka Madarakani basi mjue kuwa msimu uliopita ndio mwisho wenu wa kuchukua ubingwa. Hivi sasa ni zamu ya Mabingwa wa kihistoria kuendeleza pale alipoishia.
 
Tumewazoea na mpira wa maneno
 
JamiiForums87404398.jpg
 
Huwezi linganisha kinachofanyika mwaka huu na kilichofanyika mwaka wowote ule
Mwaka huu kuna maagizo kabisa kwamba wachezaji wa simba kila mechi atleast wawili WAJERUHIWE VIBAYA IKIBIDI KUWA VILEMA

YAANI HADI MSIMU UNAISHA SIMBA ITAKUWA IMEBAKI NA WACHEZAJI WATANO WENYE AFYA NJEMA, HUO NDIYO UANA MICHEZO?

View attachment 1959922
UNATAKA UHURUMIWE?Peleka wachezaji wako ligi ya wanawake.
 
Huwezi linganisha kinachofanyika mwaka huu na kilichofanyika mwaka wowote ule
Mwaka huu kuna maagizo kabisa kwamba wachezaji wa simba kila mechi atleast wawili WAJERUHIWE VIBAYA IKIBIDI KUWA VILEMA

YAANI HADI MSIMU UNAISHA SIMBA ITAKUWA IMEBAKI NA WACHEZAJI WATANO WENYE AFYA NJEMA, HUO NDIYO UANA MICHEZO?

View attachment 1959922
Na nyie toeni maagizo
 
Back
Top Bottom