Simba timu yenye wachezaji wabovu na kipa mzuri. Yanga ina wachezaji wazuri na kipa mbovu

Simba timu yenye wachezaji wabovu na kipa mzuri. Yanga ina wachezaji wazuri na kipa mbovu

Mechi ya jana simba walielemewa kila upande dakika zote tisini
Kipa wa simba alikuwa busy dakika zote tisini hakuna kupumzika

Kipa wa Yanga muda mwingi hakuwa na kazi a relax muda wote wa dakika 90.Sababu yanga timu ilikuwa muda wote msitari wa mbele kuhakikisha simba haipeleki mpira golini kwao

Nilishangaa penalties golikipa wa yanga ambaye muda mwingi hakuwa kazi kushindwa kudaka

Kwangu mimi shujaa wa mchezo wa jana ni golikipa wa simba ana stamina ya kutosha na uwezo mkubwa

Simba wana timu mbovu Ila golikipa wanaye. Yanga wana wachezaji wazuri mno ila golikipa hawana
Kila siku tunashauri TFF waanzishe Leseni za wachambuzi, ona Sasa haya matatizo.
 
Back
Top Bottom