Simba timu yenye wachezaji wabovu na kipa mzuri. Yanga ina wachezaji wazuri na kipa mbovu

Kila siku tunashauri TFF waanzishe Leseni za wachambuzi, ona Sasa haya matatizo.
 
Rasmi sasa Ally Salim (Muislamu mwenzangu) kawa Full pakegi katuma salamu kwa manula na Huyu muarabu koko
Wewe mdini kwani Manula na huyo mwarabu koko sio waislamu wenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…