Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Imezuka kasumba kwa washabiki wengi kuwa timu zinanunua mechi. Ukichunguza Kwa makini utaona kundi kubwa la washabiki wa Simba ndio wanaongoza kulalamika.
Timu inayolalamika ni Yanga ila ukichunguza kiumakini zaidi utagundua Yanga inaperfomance ya hali ya juu kiasi cha wapinzani wake waonekane ni dhaifu.. hii inathibitishwa na Simba kutopata ushindi dhidi ya Yanga mechi 7 mfululizo zilizopita za ligi.
Simba ina wachezaji wengi mizigo wasioweza kuipa matokeo yenye mwendelezo, timu bado haina kocha mkuu, yaani kiufupi timu bado inajitafuta.
Tuache hizi lawama, tufanye usajili mzuri na matokeo yataonekana uwanja. Tuna timu mbovu sana ukilinganisha na wenzetu
Kama hatuwezi kushinda mechi zetu, kama hatuwezi kuzifunga timu ambazo tunapambana nazo kuwania ubingwa basi tutaendelea kuusikia huu ubingwa ukielekea utopoloni na hizi lawama zetu wala hazitatusaidia kitu chochote