Simba tuache kulialia. Kanuni ya mpira ni kushinda mechi zako

Simba tuache kulialia. Kanuni ya mpira ni kushinda mechi zako

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Imezuka kasumba kwa washabiki wengi kuwa timu zinanunua mechi. Ukichunguza Kwa makini utaona kundi kubwa la washabiki wa Simba ndio wanaongoza kulalamika.

Timu inayolalamika ni Yanga ila ukichunguza kiumakini zaidi utagundua Yanga inaperfomance ya hali ya juu kiasi cha wapinzani wake waonekane ni dhaifu.. hii inathibitishwa na Simba kutopata ushindi dhidi ya Yanga mechi 7 mfululizo zilizopita za ligi.

Simba ina wachezaji wengi mizigo wasioweza kuipa matokeo yenye mwendelezo, timu bado haina kocha mkuu, yaani kiufupi timu bado inajitafuta.

Tuache hizi lawama, tufanye usajili mzuri na matokeo yataonekana uwanja. Tuna timu mbovu sana ukilinganisha na wenzetu

Kama hatuwezi kushinda mechi zetu, kama hatuwezi kuzifunga timu ambazo tunapambana nazo kuwania ubingwa basi tutaendelea kuusikia huu ubingwa ukielekea utopoloni na hizi lawama zetu wala hazitatusaidia kitu chochote
 
Wakija watasema ww ni Yanga, ila unajifanya Simba. Japo ulichoongea ni ukweli
Timu haina mwendelezo mzuri, Leo inacheza vizuri kesho inacheza vibaya, keshokutwa inacheza vibaya zaidi..
Kushinda au kupoteza mechi kwenye mpira ilo ni jambo la kawaida ila kama timu haina performance nzuri unazani inaweza kweli kushinda mfululizo??

Kuna wapuuzi humu wamejizima data nao wanashadadia mijadala fake ya kununua mechi huku wanasahau timu yao Ina matatizo mengi kuliko hao wapinzani wanaowaongelea..
 
Timu haina mwendelezo mzuri, Leo inacheza vizuri kesho inacheza vibaya, keshokutwa inacheza vibaya zaidi..
Kushinda...
Matatizoo n km yapi labdaa maana ligi ya mabigwa tupo,kwenye ligi hakuna tulichopoteza bd,FA bado tupo,timu inapambana sanaa semaa nivilee umekalishaa tako lako hapo unabwabwajaaa ilaa nakwambiajee smba bd n timu nzuri na ipo ktk ushindan wa aina zote, kuchezaa leo vby na kuchezaa kesho vrz n sehemu ya mchezoo, C kila cku ni Cku nzuri kazini ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizoo n km yapi labdaa maana ligi ya mabigwa tupo,kwenye ligi hakuna tulichopoteza bd,FA bado tupo,timu inapambana sanaa semaa nivilee umekalishaa tako lako hapo unabwabwajaaa ilaa nakwambiajee smba bd n timu nzuri na ipo ktk ushindan wa aina zt ,kuchezaa leo vby na kuchezaa kesho vrz n sehemu ya mchezoo,,,C kila cku ni Cku nzuri kazini ,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapata matokeo mabovu pale mnapokutana na timu nzuri., kule caf mmepitia njia rahisi sana na hapa ligi ya nyumbani mnazifunga timu dhaifu tu top 4 ya ligi kuu hujamfunga hata mmoja
 
Mnapata matokeo mabovu pale mnapokutana na timu nzuri., kule caf mmepitia njia rahisi sana na hapa ligi ya nyumbani mnazifunga timu dhaifu tu top 4 ya ligi kuu hujamfunga hata mmoja
Kutokuwafungaa hao waliopo top4 ndio timu dhaifu cyoo??CAF n njia gan rahic tumepitiaa hatukuchezaa na timu yyt au unazungumziaa urahic gan ww??Simba n imara na ipo ktk mapambano n vile tu unaiona yangaa Ina shine hvyo unaisahau timu yako Simba,ila Simba itakushangaza muda c mrefu na kelelee zako zitaishaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom