Wasiojuaa mpiraa ,wenyee mihemko wa Simba na yanga na mashabiki maandazii ndio wanazungumziaa bahashaa kwa hao wasimbaa ,ilaa mm mwana cmbaa ninayejua mpira sionii bahashaa yyt yangaa wanaitoaa maana kilaa timu inayoshiriki ligi inataka kuchukuaa ubingwaa kwann wafelishe mipango yao yakutwaa ubingwaa kisa milion 10 au 20n ujinga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kujaza gallery yangu kwa huo upuuziNa wewe screenshot hii msg yangu, Simba anachukua ubingwa NBC Pr Lg this season, mark my words
Hizi bahasha ni zipi? si muwe mnaleta ushahidi hapa ?Kwamba pts za Yanga kule dhidi ya Geita ilikua halali? Utakua una matatizo. Kama Yanga ni bora ipate kweli kwa kuonesha uwezo halali na siyo janja ya bahasha( tiGO pesa, maneno ya mashabiki wao wenyewe)
Labda kwa kuliiba ila kwa matokeo ya uwanjani hawezi abadani.Na wewe screenshot hii msg yangu, Simba anachukua ubingwa NBC Pr Lg this season, mark my words
Si mpo Club bingwa CAF ,mtakuwaje na timu mbaya maana wenzetu humu ndicho wanacho jitambia.Imezuka kasumba kwa washabiki wengi kuwa timu zinanunua mechi. Ukichunguza Kwa makini utaona kundi kubwa la washabiki wa Simba ndio wanaongoza kulalamika.
Timu inayolalamika ni Yanga ila ukichunguza kiumakini zaidi utagundua Yanga inaperfomance ya hali ya juu kiasi cha wapinzani wake waonekane ni dhaifu.. hii inathibitishwa na Simba kutopata ushindi dhidi ya Yanga mechi 7 mfululizo zilizopita za ligi.
Simba ina wachezaji wengi mizigo wasioweza kuipa matokeo yenye mwendelezo, timu bado haina kocha mkuu, yaani kiufupi timu bado inajitafuta.
Tuache hizi lawama, tufanye usajili mzuri na matokeo yataonekana uwanja. Tuna timu mbovu sana ukilinganisha na wenzetu
Kama hatuwezi kushinda mechi zetu, kama hatuwezi kuzifunga timu ambazo tunapambana nazo kuwania ubingwa basi tutaendelea kuusikia huu ubingwa ukielekea utopoloni na hizi lawama zetu wala hazitatusaidia kitu chochote
Well said bro..BravoImezuka kasumba kwa washabiki wengi kuwa timu zinanunua mechi. Ukichunguza Kwa makini utaona kundi kubwa la washabiki wa Simba ndio wanaongoza kulalamika.
Timu inayolalamika ni Yanga ila ukichunguza kiumakini zaidi utagundua Yanga inaperfomance ya hali ya juu kiasi cha wapinzani wake waonekane ni dhaifu.. hii inathibitishwa na Simba kutopata ushindi dhidi ya Yanga mechi 7 mfululizo zilizopita za ligi.
Simba ina wachezaji wengi mizigo wasioweza kuipa matokeo yenye mwendelezo, timu bado haina kocha mkuu, yaani kiufupi timu bado inajitafuta.
Tuache hizi lawama, tufanye usajili mzuri na matokeo yataonekana uwanja. Tuna timu mbovu sana ukilinganisha na wenzetu
Kama hatuwezi kushinda mechi zetu, kama hatuwezi kuzifunga timu ambazo tunapambana nazo kuwania ubingwa basi tutaendelea kuusikia huu ubingwa ukielekea utopoloni na hizi lawama zetu wala hazitatusaidia kitu chochote
Nadhani haujamuelewa mleta mada mkuu, anachosema ni kwamba mashabiki wa Simba waache kulalamika kuwa team hasimu wao ananunua mechi badala yake wakomae washinde zao maana mpira wa miguu ni kushinda mechi zako.Matatizoo n km yapi labdaa maana ligi ya mabigwa tupo,kwenye ligi hakuna tulichopoteza bd,FA bado tupo,timu inapambana sanaa semaa nivilee umekalishaa tako lako hapo unabwabwajaaa ilaa nakwambiajee smba bd n timu nzuri na ipo ktk ushindan wa aina zt ,kuchezaa leo vby na kuchezaa kesho vrz n sehemu ya mchezoo,,,C kila cku ni Cku nzuri kazini ,
Sent using Jamii Forums mobile app
Una vituko [emoji23][emoji23]Na wewe screenshot hii msg yangu, Simba anachukua ubingwa NBC Pr Lg this season, mark my words
Kuwa Simba itafanya nini?? Wazee wa sembeNa wewe screenshot hii msg yangu, Simba anachukua ubingwa NBC Pr Lg this season, mark my words
Labda ubingwa wa mbio.Na wewe screenshot hii msg yangu, Simba anachukua ubingwa NBC Pr Lg this season, mark my words
Ndaga zimewazidia.. wanasubilia dodo chini ya mnaziLabda ubingwa wa mbio.