Simba tuache kulialia. Kanuni ya mpira ni kushinda mechi zako

Simba tuache kulialia. Kanuni ya mpira ni kushinda mechi zako

Wasiojuaa mpiraa ,wenyee mihemko wa Simba na yanga na mashabiki maandazii ndio wanazungumziaa bahashaa kwa hao wasimbaa ,ilaa mm mwana cmbaa ninayejua mpira sionii bahashaa yyt yangaa wanaitoaa maana kilaa timu inayoshiriki ligi inataka kuchukuaa ubingwaa kwann wafelishe mipango yao yakutwaa ubingwaa kisa milion 10 au 20n ujinga...

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwamba pts za Yanga kule dhidi ya Geita ilikua halali? Utakua una matatizo. Kama Yanga ni bora ipate kweli kwa kuonesha uwezo halali na siyo janja ya bahasha( tiGO pesa, maneno ya mashabiki wao wenyewe)
 
Hakuna timu mbovu mzee Komaeni na uongozi wenu.
Management ikipuyanga huku Chini wanaungua
 
Kwamba pts za Yanga kule dhidi ya Geita ilikua halali? Utakua una matatizo. Kama Yanga ni bora ipate kweli kwa kuonesha uwezo halali na siyo janja ya bahasha( tiGO pesa, maneno ya mashabiki wao wenyewe)
Hizi bahasha ni zipi? si muwe mnaleta ushahidi hapa ?

Cha muhimu we shinda mechi zako sio unaboronga alafu unategemea timu nyingine zikupambanie!!
 
Na wewe screenshot hii msg yangu, Simba anachukua ubingwa NBC Pr Lg this season, mark my words
Labda kwa kuliiba ila kwa matokeo ya uwanjani hawezi abadani.
 
Ukweli ndio huu, timu ambayo wapinzani wako wanachukua pointi tatu, halafu wewe ukikutana nayo unaondoka na pointi moja ya kuipigania inabidi kujitafakari sana..

Hii ligi yetu tunakimbizana sana, ukishindwa kuchukua pointi tatu kwa timu za kawaida, basi lazima uwe na uwezo wa kuzichukua tatu kwa Yanga na Azam, kinyume na hapo, kama Azam nae anakupiga, ukweli ubingwa usahau.
 
Kawaida ya mwizi akishukiwa uwa anajitoa yeye siyo mwizi, anawasingizia wenzake.

Kwa kifupi sisi Nganda FC ndio wanunuaji wa mechi na haswa ubingwa tuliochujua mfulululizo ni kwa njia ya ngawira
 
Imezuka kasumba kwa washabiki wengi kuwa timu zinanunua mechi. Ukichunguza Kwa makini utaona kundi kubwa la washabiki wa Simba ndio wanaongoza kulalamika.

Timu inayolalamika ni Yanga ila ukichunguza kiumakini zaidi utagundua Yanga inaperfomance ya hali ya juu kiasi cha wapinzani wake waonekane ni dhaifu.. hii inathibitishwa na Simba kutopata ushindi dhidi ya Yanga mechi 7 mfululizo zilizopita za ligi.

Simba ina wachezaji wengi mizigo wasioweza kuipa matokeo yenye mwendelezo, timu bado haina kocha mkuu, yaani kiufupi timu bado inajitafuta.

Tuache hizi lawama, tufanye usajili mzuri na matokeo yataonekana uwanja. Tuna timu mbovu sana ukilinganisha na wenzetu

Kama hatuwezi kushinda mechi zetu, kama hatuwezi kuzifunga timu ambazo tunapambana nazo kuwania ubingwa basi tutaendelea kuusikia huu ubingwa ukielekea utopoloni na hizi lawama zetu wala hazitatusaidia kitu chochote
Si mpo Club bingwa CAF ,mtakuwaje na timu mbaya maana wenzetu humu ndicho wanacho jitambia.
 
Simba Cha muhimu we shinda mechi zako sio unaboronga alafu unategemea timu nyingine zikupambanie!!
 
Imezuka kasumba kwa washabiki wengi kuwa timu zinanunua mechi. Ukichunguza Kwa makini utaona kundi kubwa la washabiki wa Simba ndio wanaongoza kulalamika.

Timu inayolalamika ni Yanga ila ukichunguza kiumakini zaidi utagundua Yanga inaperfomance ya hali ya juu kiasi cha wapinzani wake waonekane ni dhaifu.. hii inathibitishwa na Simba kutopata ushindi dhidi ya Yanga mechi 7 mfululizo zilizopita za ligi.

Simba ina wachezaji wengi mizigo wasioweza kuipa matokeo yenye mwendelezo, timu bado haina kocha mkuu, yaani kiufupi timu bado inajitafuta.

Tuache hizi lawama, tufanye usajili mzuri na matokeo yataonekana uwanja. Tuna timu mbovu sana ukilinganisha na wenzetu

Kama hatuwezi kushinda mechi zetu, kama hatuwezi kuzifunga timu ambazo tunapambana nazo kuwania ubingwa basi tutaendelea kuusikia huu ubingwa ukielekea utopoloni na hizi lawama zetu wala hazitatusaidia kitu chochote
Well said bro..Bravo
 
Matatizoo n km yapi labdaa maana ligi ya mabigwa tupo,kwenye ligi hakuna tulichopoteza bd,FA bado tupo,timu inapambana sanaa semaa nivilee umekalishaa tako lako hapo unabwabwajaaa ilaa nakwambiajee smba bd n timu nzuri na ipo ktk ushindan wa aina zt ,kuchezaa leo vby na kuchezaa kesho vrz n sehemu ya mchezoo,,,C kila cku ni Cku nzuri kazini ,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani haujamuelewa mleta mada mkuu, anachosema ni kwamba mashabiki wa Simba waache kulalamika kuwa team hasimu wao ananunua mechi badala yake wakomae washinde zao maana mpira wa miguu ni kushinda mechi zako.

Simba ni kweli matatizo yapo hata kama team imefuzu makundi, Team imetangaza juzi kocha wa makipa na fitness coach huoni kama ni tatizo Hilo team kukaa muda mrefu bila fitness coach?
 
Back
Top Bottom