rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,360
- 26,244
Siku ya KibabageAhmed Ali ndio chanzo cha yote
Hayo matatizo yamesababishwa na viongozi wa Simba, hawajui ukubwa wa timu. Kwanini marefa walewale waendelee kuidhulumu Simba kana kwamba Simba sio timu kubwa.Ktk mazingira kama haya.....
View attachment 3569613
Hata wewe mleta mada ungefanyaje?maana wanaona kazi wanaifanya so sifa ni haki yao.
Nafasi ipi unataka, Team Manager au Coach???Hii tabia imekuwepo muda mrefu sana, kuna kipindi Mkude alikuwa akisifiwa sana wakati yeye alikuwa chanzo cha makosa mengi, walimsifia mpaka viongozi wakawa wanaogopa kumwacha kwa kuwaogopa mashabiki.
Baadae akaja Shabalala pamoja na magoli mengi yalikuwa yanatokea kwake bado mashabiki wakaendelea kumpamba mpaka uongozi kila ukileta mchezaji anaonekana hafai, akaja Chama masifa mengi sasa hivi karudi amechoka ukiacha mechi na Azam aliyotolewa nyingi anabaki hadi mwisho wakati pumzi aliyonayo si ya kucheza muda wote.
Aliposajiliwa Libase Gueye wakaanza kumponda Mpanzu na tatizo hilo limehamia kwa Kibabage akicheza anacheza na jukwaa kiasi anapotakiwa kupiga pasi hapigi, anajiona muda mwingi anapaswa kushambulia matojeo yake sehemu yake inabaki wazi kulazimisha muda mwingi mabeki wa kati kucheza eneo lake.
Wa mwisho ni Kagoma, amekuwa akifanya makosa mengi hasa anapoanzishiwa mpira na kipa option yake ni kurudisha nyima na anaponyang'anywa anakimbilia kucheza rafu ila mashabiki ndio wanaongoza kumsifia matokeo yakr anashindwa kurekebisha mapungufu yake.
Elewa madaNafasi ipi unataka, Team Manager au Coach???
AiseeeeKagoma ndio kabisaa.. yaani hanyumbuliki, sio muongo muongo, mchezaji mgumu kama anakula KOKOTO
Simba imewekeza sana kwenye propaganda! Unazikumbuka zile story za GSM na kudhamini timu mbali mbali?Hayo matatizo yamesababishwa na viongozi wa Simba, hawajui ukubwa wa timu. Kwanini marefa walewale waendelee kuidhulumu Simba kana kwamba Simba sio timu kubwa.
Hii mada haihusiani na hicho unachoongeaSimba imewekeza sana kwenye propaganda! Unazikumbuka zile story za GSM na kudhamini timu mbali mbali?
Unakumbuka story za Hawa wachezaji wapya? Watawchwa wale
Inahusiana sana tuHii tabia imekuwepo muda mrefu sana, kuna kipindi Mkude alikuwa akisifiwa sana wakati yeye alikuwa chanzo cha makosa mengi, walimsifia mpaka viongozi wakawa wanaogopa kumwacha kwa kuwaogopa mashabiki.
Baadae akaja Shabalala pamoja na magoli mengi yalikuwa yanatokea kwake bado mashabiki wakaendelea kumpamba mpaka uongozi kila ukileta mchezaji anaonekana hafai, akaja Chama masifa mengi sasa hivi karudi amechoka ukiacha mechi na Azam aliyotolewa nyingi anabaki hadi mwisho wakati pumzi aliyonayo si ya kucheza muda wote.
Aliposajiliwa Libase Gueye wakaanza kumponda Mpanzu na tatizo hilo limehamia kwa Kibabage akicheza anacheza na jukwaa kiasi anapotakiwa kupiga pasi hapigi, anajiona muda mwingi anapaswa kushambulia matojeo yake sehemu yake inabaki wazi kulazimisha muda mwingi mabeki wa kati kucheza eneo lake.
Wa mwisho ni Kagoma, amekuwa akifanya makosa mengi hasa anapoanzishiwa mpira na kipa option yake ni kurudisha nyima na anaponyang'anywa anakimbilia kucheza rafu ila mashabiki ndio wanaongoza kumsifia matokeo yakr anashindwa kurekebisha mapungufu yake.
Kosa kubwa la kagoma hafanyi scanning kabla haja receive mpira kitu kinachomfanya anarudisha nyuma mpira akifanyiwa pressing muangalie feisal salum yule ni complete player ana scan ana nyanyua kichwa kabla na baada ya kupewa mpira.Hii tabia imekuwepo muda mrefu sana, kuna kipindi Mkude alikuwa akisifiwa sana wakati yeye alikuwa chanzo cha makosa mengi, walimsifia mpaka viongozi wakawa wanaogopa kumwacha kwa kuwaogopa mashabiki.