R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 18,360 Reaction score 26,244 Apr 10, 2026 Thread starter #21 pwilo said: Kosa kubwa la kagoma hafanyi scanning kabla haja receive mpira kitu kinachomfanya anarudisha nyuma mpira akifanyiwa pressing muangalie feisal salum yule ni complete player ana scan ana nyanyua kichwa kabla na baada ya kupewa mpira. Click to expand... Uko sahihi ila badala ya mashabiki kumkosoa afanye marekebisho wao wanamsifia na zile rafu zake anazofanya karibu na goli.
pwilo said: Kosa kubwa la kagoma hafanyi scanning kabla haja receive mpira kitu kinachomfanya anarudisha nyuma mpira akifanyiwa pressing muangalie feisal salum yule ni complete player ana scan ana nyanyua kichwa kabla na baada ya kupewa mpira. Click to expand... Uko sahihi ila badala ya mashabiki kumkosoa afanye marekebisho wao wanamsifia na zile rafu zake anazofanya karibu na goli.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 10, 2026 #22 Hatari sana... Cc: Mahondaw