ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Wanasimba wamekuwa wakidanganyika na viongozi wao wakiwahadaa ati wao ni mabingwa wa community shield, ambao sio kweli.
Wataambia kesho eti wamekuwa mabingwa wa Muungano ambao sio kweli
Wanasimba amkeni kuwa bingwa huwezi cheza mechi mbili tu ukawa bingwa kuwa bingwa sio rahisi hivo
Rage kama alivowaita mbumbumbu utakuta wanasema eti wana kombe la ngao ya jamii mara WhatsApp kombe basi huwa tunaishia kushangaa akili za watani