Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Nyingi ni ngapi?Bingwa anapatika kwa michezo mingi na team shiriki zinakuwa nyingi world Cup ina team zaidi ya 32 utailinganisha vip na Muungano wewe
Kumpata bingwa mfano bingwa anaweza kuteleza akapoteza michezo baadae akajipata
Mfano Ivory coast alipoteza mechi kama 3 hatua za awali leo ndo bingwa wa Afcon na Argentina vilevile
Hebu nambie kwenye kumpata winner kama ukipoteza mchezo utabaki mashindanoni
Zikiwa mbili kwani sio nyingi?
Bingwa anapatikana mwisho wa mashindano haijalishi ni mechi ngapi.
Nakuuliza tena, unaelewa maana ya treble?