Unafahamu role ya tournament?Kuna world cup inaanzia semi final
Wanasimba wamekuwa wakidanganyika na viongozi wao wakiwahadaa ati wao ni mabingwa wa community shield, ambao sio kweli...
Basi heshima tumpe RageUtopolo ni nini kinawapata....! Ni Kiwewe au Ndo kupagawa?
Yaani hata hiyo Fainali ya Kombe La Muungano haijachezwa na Bingwa bado hajajulikana, nyie mnahaha Kutoa ufafanuzi uchwara ,mara oooh Kombe La mchongo..!
Fainali ni Kesho, tulieni msianze Kuweweseka..!
Una harufu zote za 🐸🐸 japo umejipachika usimba.Wataambia kesho eti wamekuwa mabingwa wa Muungano ambao sio kweli
Wanasimba amkeni kuwa bingwa huwezi cheza mechi mbili tu ukawa bingwa kuwa bingwa sio rahisi hivo
Tutaliweka hapo umbumbumbuni mlisome kwa ukaribuUna harufu zote za 🐸🐸 japo umejipachika usimba.
Akili zako zimejaa utoto mwingi.
Ni vyema ungekaa kimya tu kuliko kujidharirisha na hoja ya kitoto.
Hivi bango la 7-2 mmelisimika na pale jangwani?
Ndio maana nikakuuliza unaelewa role ya tournament?AFL zilichezwa mechi mbili pekee??
Wewe ndo huelewi me nakwambia tofauti ya champion na winner wewe unaniletea mambo ya aina za tournamentNdio maana nikakuuliza unaelewa role ya tournament?
Hiki kitu unakijua vizuri?
Nikikuambia unitajia aina 4 za tournament unazijua, unaweza kuzielezea and how they operate?
Wekeni nchi nzima itapendeza zaidiTutaliweka hapo umbumbumbuni mlisome kwa ukaribu
Kwenye tournament mshindi ni champion au ni winner?Wewe ndo huelewi me nakwambia tofauti ya champion na winner wewe unaniletea mambo ya aina za tournament
Kwa jinsi nilivyokusoma juu umetofautisha kati ya ligi na tournament lakini nimeshangaa sana kuona kwenye mifano yako umeitumia AFL kwa upande wa tournament wakati AFL ni league ( African football league)Unafahamu role ya tournament?
Mashindano gani hapa Afrika yenye hadhi na thamani kubwa kuliko AFL?
Mbona AFL ilianzia na quarter final?
Mshindi wa mchezo anapewaje kombe?Tournament au league vyote vinatoa champion
Lakini mshindi wa community shield au sijui muungano hawezi kuitwa champion kutokana na muundo wake
Tournament ya mechi mbili haipati bingwa bali mshindi wa mchezo tu
Kwa hii Comment umejipambanua kwa uwazi kabisa kuwa wewe ni utopian amphibian akili kisoda og 😂😂Tournament au league vyote vinatoa champion
Lakini mshindi wa community shield au sijui muungano hawezi kuitwa champion kutokana na muundo wake
Tournament ya mechi mbili haipati bingwa bali mshindi wa mchezo tu
Wekeni nchi nzima itapen
Bingwa anapatika kwa michezo mingi na team shiriki zinakuwa nyingi world Cup ina team zaidi ya 32 utailinganisha vip na Muungano weweKwenye tournament mshindi ni champion
Usipagawe na jina la "ligi"Kwa jinsi nilivyokusoma juu umetofautisha kati ya ligi na tournament lakini nimeshangaa sana kuona kwenye mifano yako umeitumia AFL kwa upande wa tournament wakati AFL ni league ( African football league)