Simba tuelewe tofauti ya Mshindi (Winner) na Bingwa (champion)

Nyingi ni ngapi?

Zikiwa mbili kwani sio nyingi?

Bingwa anapatikana mwisho wa mashindano haijalishi ni mechi ngapi.

Nakuuliza tena, unaelewa maana ya treble?
 
Usipagawe na jina la "ligi"

Hata UEFA Champions League nayo ni tournament

Hiyo ni aina ya tournament ya robin round
Basi hata ligi kuu ni tournament kama ni hivyo.
 
Nyingi ni ngapi?

Zikiwa mbili kwani sio nyingi?

Bingwa anapatikana mwisho wa mashindano haijalishi ni mechi ngapi.

Nakuuliza tena, unaelewa maana ya treble?
Treble inaweza jumuisha mafanikio yote ikiwemo mshindi na ubingwa
 
Basi hata ligi kuu ni tournament kama ni hivyo.
Sio tournament

Kwasababu ligi ni mjumuisho wa misimu miwili na huchukua muda mrefu kuhitimika.

Na points zinazokuwa obtain kwenye hizo timu shiriki zinasaidia kupata ingizo jipya la timu kutoka championship kupitia playoff.
 
Treble inaweza jumuisha mafanikio yote ikiwemo mshindi na ubingwa
Hii ndio maana yako ya treble au hiki ulichokiandika hakina uhusiano na swali langu nililokuuliza maana ya treble?
 
Sio tournament

Kwasababu ligi ni mjumuisho wa misimu miwili na huchukua muda mrefu kuhitimika.

Na points zinazokuwa obtain kwenye hizo timu shiriki zinasaidia kupata ingizo jipya la timu kutoka championship kupitia playoff.

Huwezi kuita koleo kuwa ni kijiko wakati sio kijiko, waliota UEFA champions league sio wajinga wakatumia neno league kwani wao hawajui maana ya neno league kiasi kwamba watumie neno lisilo sahihi kwenye mashindano?

UEFA, Europa CAF champions, na AFL hizo zote ni ligi na ndio maana unakuta ni mashindano yanafanyika kwa misimu miwili yaani bingwa anakuwa wa 2022/2023.
 
Hii ndio maana yako ya treble au hiki ulichokiandika hakina uhusiano na swali langu nililokuuliza maana y

Hii ndio maana yako ya treble au hiki ulichokiandika hakina uhusiano na swali langu nililokuuliza maana ya treble?
Treble means three victories or championships in one season
 
Maana ya ligi iliyotumika hapo ni association wala isikuchanganye.

Ligi na tournament ni vitu viwili tofauti.

Kwenye ligi kila timu lazima icheze mechi mbili na timu inayoshiriki hiyo michuano.

Kwenye tournament hilo sio necessary kwasababu ni mfumo wa last man standing.
 
Treble means three victories or championships in one season
Mwaka jana mlifanya parade ya treble kwa kuwa champion kwa makombe gani?

Unaweza kuyataja hapa?
 
Kwani kwenye UEFA timu hazichezi mechi mbili na timu inayoshiriki hiyo michuano?
 
Tuanze kwanza ku define nini maaana ya ligi kabla ya kusema imetumiakaje hapo
 
Mwaka jana mlifanya parade ya treble kwa kuwa champion kwa makombe gani?

Unaweza kuyataja hapa?
Sio kila kombe no kombe la ubingwa
Haya treble yanga last year
Community shield winner+ FA champion+ NBCPL champion=treble
 
Kwani kwenye UEFA timu hazichezi mechi mbili na timu inayoshiriki hiyo michuano?
Hujaelewa kilichoandikwa.

Nimesema concept ya ligi timu zote shiriki lazima zikutane
 
Sio kila kombe no kombe la ubingwa
Haya treble yanga last year
Community shield winner+ FA champion+ NBCPL champion=treble
Hiyo treble unaipataje kwenye tournament ambayo Haina bingwa?
 
Hiyo treble unaipataje kwenye tournament ambayo Haina bingwa?
We jamaa ni mgumu kuelewa
Nimekwambia
Treble means three victories or championships in one season
Yani changanya makombe ya ushindi na ubingwa utapata treble,
Umeelewa?
 
We jamaa ni mgumu kuelewa
Nimekwambia
Treble means three victories or championships in one season
Yani changanya makombe ya ushindi na ubingwa utapata treble,
Umeelewa?
Unaposema makombe ya ushindi maana yake nini?

Maana yake Kuna makombe yasiokuwa na ushindi?

Unawezaje kuelezea na ukaeleweka kuwa Mshindi wa mwisho wa michuano kivipi asiwe bingwa?

Hiyo tasfiri Yako naipata kwenye source gani?
 
Ila msimu uliopita mlisema vyura mmechukua treble ambazo community shield,NBC league na Azam. Na hata mlipoambiwa kua Ngao sio kombe mligoma.

Kweli "WENYE AKILI NI WAWILI TU"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…