Simba Tufungwe Mechi 2 Mfululizo, Salam kwa MO Kutuletea Makonda

Hiyo timu ni ya Mwamedi..nyie mnachoweza ama mshabikie ama mmmbbakie na sonono..

Mtamkumbuka mzee Kilomoni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Hawa wanataka kutuharibia chama letu,wote waharifu waliojificha katika soka.
 
Asalale! Lazima kashafanya umafia wake tena kwa Mo. Hapo Mo kalazimishwa.
Makonda ni mhuni mmoja na mtu hatari.
 
Haya mawazo yapeleke pale mavicha yatawafaa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naiona hatari ya kutokea Simba CCM na Simba UKAWA..
 
Kwani Diva alisema akitaka kazi Wasafi atamtafuta nani?
Hata Makonda kafanya hivo kwa Simba

Mwenye hisa nyingi ndo mmiliki mkuu... Nyie mnaojiita sijui wanachama, atatimuliwa mmojammoja na vihisa vyenu vya 0.01% kwa kila mwanachama mpaka muishe! Alaah!
 

We ni mpuuzi kumbe, nani kalalamika? Unajua nini kinaendelea kwenye club baada ya tangazo la MO alilotoa bila kuwa consult wenzake?
Unadhani 49% inampa mamlaka kufanya chochote hata Mshindo Msolwa makamu wake?
Usiyojuwa bora unyamaze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifurahishwagi na baadhi ya vitendo vya makonda ila katika ili sioni ubaya wowote he is a powerful person atakuza brand ya simba alafu kapewa ushauri mkuu sio member wa board watu mna catch feelings sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Umezungumza vizuri sana, Cheo alichopata Makonda ni cha kujitolea tu.
Hana mshahala hapa SSC.
Hatii hasara yoyote.
Wala hahitaji chochote toka SSC.
Zaidi anataka kutoa mchango wake kwa timu bure kabisa.
Je sisi SSC hatuhitaji michango ya kujitolea ya wadau wa Simba ?
Kazi za kujitolea huwa hazikataliwagi.
Pia kumbukeni wahenga wanasema.
Adui wa Jana ni rafiki wa leo, na rafiki wa Jana, Leo ni adui."
Msimhukumu mtu miaka yote. Huenda ametubu kuliko Ninyi.
Tumwachie Mungu atuhukumu.
Amina



Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Umewahi kuona Sheikh kawa mshauri wa kanisa hata Kama halipwi...


Kama unatumia akili ipasavyo utakuwa umenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewahi kuona Sheikh kawa mshauri wa kanisa hata Kama halipwi...


Kama unatumia akili ipasavyo utakuwa umenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu unaitwa mfano bomba! Watu sijui wanashindwa kuelewa nini!
Makonda aliyochochea huko jiji akayamalize na asipewe nafasi kuleta mitafaruku Simba.
Marehemu Ruge alimfanya Makonda rafiki na Clouds kukawa nyumbani kwake, nini alikuja kufanya baadae? Wamjuao huyo jamaa wanasema ndivyo alivyo ana mentality za kichawichawi yaani kila alipo lazima awachonganishe.
Ila habari za chini ya kapeti ni kuwa MO amekuwa blackmailed kutoa nafasi hiyo na si kwa hiari yake. Sasa wanasimba tumsaidieni kumsemea kuwa hatumtaki Makonda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema sitaki ,Mimi mwanachama wa simba naunga mkono tena ikibidi alete watu wengine influential kabisa Simba inapaswa kuwa taasisi ndani yake yenye watu maarufu kabisa ikibidi hata raisi wetu ,waziri mkuu ,makamu wa raisi wawe washauri wa SSC
Ndio maana Simba imeshashikwa na matapeli kwa reasoning ya aina yako.
Unadhani klabu ingekuwa makini watu wa aina hii wangekuwa na nafasi?
Tunakwenda mbele hatua 50 tunarudi 70

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…