mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Iko wazi kabisa kuwa Yanga wameshikwa pabaya! Tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumushwa CAF Champions League kama kibaka fulan hivi, kwa kujaribu kuwafunga Simba.
Kwa mtazamo wa Yanga, kumfunga Simba ni kama kuchukua Kombe la Duinia, huwa wanacheza nje na ndani ya uwanja!
Simba tuwe macho tuwafunge, na hapo utazuka mgogoro hapo Jangwani!
Kwa mtazamo wa Yanga, kumfunga Simba ni kama kuchukua Kombe la Duinia, huwa wanacheza nje na ndani ya uwanja!
Simba tuwe macho tuwafunge, na hapo utazuka mgogoro hapo Jangwani!