mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Mbona unahangaika kama kuku anayetaka kutaga una matatizo gani wewe, unafungua nyuzi kila baada ya dk chache na kwa bahati mbaya timu unayoizungumzia wala awana muda na wewe, umeshasema unakwenda kumfunga yanga pia baada ya kuwafunga ihefu ya angola sasa si utulie tusubilie utakavyoenda kushinda! Wasi wasi wako ni upi mbona atukuelewiIko wazi kabisa kuwa yanga wameshikwa pabaya! tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumshwa Caf champions league ka kibaka fulan hivi, kwa kujaribu kuwafunga Simba...
Makasiriko ya nn mkuuMbona unahangaika kama kuku anayetaka kutaga una matatizo gani wewe, unafungua nyuzi kila baada ya dk chache na kwa bahati mbaya timu unayoizungumzia wala awana muda na wewe, umeshasema unakwenda kumfunga yanga pia baada ya kuwafunga ihefu ya angola sasa si utulie tusubilie utakavyoenda kushinda! Wasi wasi wako ni upi mbona atukuelewi
Mbona umejibu sasa? Tuliza mshono huo mamaMbona unahangaika kama kuku anayetaka kutaga una matatizo gani wewe, unafungua nyuzi kila baada ya dk chache na kwa bahati mbaya timu unayoizungumzia wala awana muda na wewe, umeshasema unakwenda kumfunga yanga pia baada ya kuwafunga ihefu ya angola sasa si utulie tusubilie utakavyoenda kushinda! Wasi wasi wako ni upi mbona atukuelewi
Uto utawawezaaa!!!?Makasiriko ya nn mkuu
Simba haiwezi kufungwa na Yanga chini ya Mgunda na Matora. NeverIko wazi kabisa kuwa Yanga wameshikwa pabaya! Tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumushwa CAF Champions League kama kibaka fulan hivi, kwa kujaribu kuwafunga Simba...
Punguza hasira UtoMbona unahangaika kama kuku anayetaka kutaga una matatizo gani wewe, unafungua nyuzi kila baada ya dk chache na kwa bahati mbaya timu unayoizungumzia wala awana muda na wewe, umeshasema unakwenda kumfunga yanga pia baada ya kuwafunga ihefu ya angola sasa si utulie tusubilie utakavyoenda kushinda! Wasi wasi wako ni upi mbona atukuelewi
Too late! Dozi yenu iko pale pale.Iko wazi kabisa kuwa Yanga wameshikwa pabaya! Tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumushwa CAF Champions League kama kibaka fulan hivi, kwa kujaribu kuwafunga Simba.
Kwa mtazamo wa Yanga, kumfunga Simba ni kama kuchukua Kombe la Duinia, huwa wanacheza nje na ndani ya uwanja!
Simba tuwe macho tuwafunge, na hapo utazuka mgogoro hapo Jangwani!
Mnajua mnaenda kukong'otwamashabiki wa Simba tuko na presha ya kimataifa kwenye group stage,daby autupi presha tukishinda au tukifungwa sio issue sana,issue ni Simba apenye kwenda robo caf[emoji123]
Unateseka ukiwa wapi? Subiri sindano inyong'onyee!! Asante kwa povu!!Mbona unahangaika kama kuku anayetaka kutaga una matatizo gani wewe, unafungua nyuzi kila baada ya dk chache na kwa bahati mbaya timu unayoizungumzia wala awana muda na wewe, umeshasema unakwenda kumfunga yanga pia baada ya kuwafunga ihefu ya angola sasa si utulie tusubilie utakavyoenda kushinda! Wasi wasi wako ni upi mbona atukuelewi
Kwa wachezaji gani mkuu??Sioni uwezekano wa Simba kufungwa kwa sasa.
Sawa acha iwe ivyo tukung'utwe baada ya hapo maisha yataendelea.Mnajua mnaenda kukong'otwa
Uende robo!?..robo kilo au!!!?..na siku hizi wanajua mnawapulizia na kuwalisha sumu...mtapigwa za kutoshaSawa acha iwe ivyo tukung'utwe baada ya hapo maisha yataendelea.
Simba kaingia makundi kavuna 1.4b,akivuka kwenda robo kuna 2.b.akivuka kwenda nusu 3.b.
Kusingekua na madili hayo [emoji115]hakika Simba wangekua na presha ya daby na presha ingekuwepo.
kawaida wala hatuogopi tushafungwa tano,tano maranyingi,tushazowea hatuogopi ndo maana leo hii tupo makundi champions na kwenye rank ya caf tupo 11[emoji123]Uende robo!?..robo kilo au!!!?..na siku hizi wanajua mnawapulizia na kuwalisha sumu...mtapigwa za kutosha
Rank huja na kupita..j2 utajua tuko wapikawaida wala hatuogopi tushafungwa tano,tano maranyingi,tushazowea hatuogopi ndo maana leo hii tupo makundi champions na kwenye rank ya caf tupo 11[emoji123]
nyinyi mpo wapi Evic town au Kidimbwi[emoji23][emoji28]