luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
HahahahaIko wazi kabisa kuwa Yanga wameshikwa pabaya! Tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumushwa CAF Champions League kama kibaka fulan hivi, kwa kujaribu kuwafunga Simba.
Kwa mtazamo wa Yanga, kumfunga Simba ni kama kuchukua Kombe la Duinia, huwa wanacheza nje na ndani ya uwanja!
Simba tuwe macho tuwafunge, na hapo utazuka mgogoro hapo Jangwani!
J'pili mnakula 3-0,Mgunda anawajua vizuri nje na ndani ya uwanja.Rank huja na kupita..j2 utajua tuko wapi
Zamaleki alikua bingwa caf 2002,akapotea kwa miaka zaidi ya 15,rank suala la kupita tu,na ukazane ufike mbali ili mwakani ucheze klab bingwa Tena,la sivyo utakuna Nazi nyumbani wakati yanga akicheza klabu bingwa na Azam shirikisho,maana timu ya kuchukia NBC hunaIyo rank ya kuja na kupita mshawai kukaa mwaka gani hata top 20 tu,au ndo kujikaza kisabuni?J'pili mnakula 3-0,Mgunda anawajua vizuri nje na ndani ya uwanja.
Zahera mliyempa kazi benchi la ufundi anatoa uhakika wa 100% mtakung'utwa j'pili.
Dah wa hapa hapa mchanganiKama ikitokea Yanga akamfunga Simba, basi hayo yatakuwa ni matokeo ya kawaida kwenye mpira, na hiyo haitamaanisha Simba SC hajui, Simba anajua sana ndio maana anatambulika kimataifa kwa wakubwa wenzake, wakati hao Yanga wao ni wa hapa hapa.
Simba sio kama wa hapa hapa utopoloMnajua mnaenda kukong'otwa
kha,,wewe wa wapi!.Simba anabeba ubingwa back to back misimu minne ulikua wapi,Simba anafika robo caf marambili ulikua wapi.nani anaongoza ligi mpaka sasa,,Loh,,!Zamaleki alikua bingwa caf 2002,akapotea kwa miaka zaidi ya 15,rank suala la kupita tu,na ukazane ufike mbali ili mwakani ucheze klab bingwa Tena,la sivyo utakuna Nazi nyumbani wakati yanga akicheza klabu bingwa na Azam shirikisho,maana timu ya kuchukia NBC huna
Kwani mbali!kha,,wewe wa wapi!.Simba anabeba ubingwa back to back misimu minne ulikua wapi,Simba anafika robo caf marambili ulikua wapi.nani anaongoza ligi mpaka sasa,,Loh,,!
sasahivi nani anaelekea kukuna nazi nyumbani kati ya Simba na Yanga.Yanga akitatolewa champions kabaki Simba tu wewe huna habari mpaka sasa.kha,,!
Yanga anamechi mbili za kuamua hatma yake akitolewa huko anabaki nyumbani kumpikia mumewe Simba.
Simba anamechi sita group stage,point tisa zinabaki pale kwa Mkapa hatoki mtu, away tunavuna point tatu kwenye mechi moja wapo au point mbili za droo,kazi kwisha haooooooooo quatal final.
awaamini macho yaooo[emoji444],,,,,pelepetepetepete,,,awaamini macho yaoooooo.[emoji445][emoji350] [emoji118] kispika cha Ahmed Ally ichoo.[emoji23][emoji28]
Sio mbali.Kwani mbali!
Ndo upuuzi wa hyo timu yenu. Mtaendelea kusugua benchi kwa Jubilei ya miaka mpk mje muingie makundi tena.Kwa wachezaji gani mkuu??
Kutolewa Champions League kwa Yanga usidhani Yanga ni Mchekea, utapigwa hadi ushangae.
Nachowakubali Yanga kwenye Dabi hawanaga utani, wanakiwasha ile mbaya.
Baelezeee baelezeeekha,,wewe wa wapi!.Simba anabeba ubingwa back to back misimu minne ulikua wapi,Simba anafika robo caf marambili ulikua wapi.nani anaongoza ligi mpaka sasa,,Loh,,!
sasahivi nani anaelekea kukuna nazi nyumbani kati ya Simba na Yanga.Yanga akitatolewa champions kabaki Simba tu wewe huna habari mpaka sasa.kha,,!
Yanga anamechi mbili za kuamua hatma yake akitolewa huko anabaki nyumbani kumpikia mumewe Simba.
Simba anamechi sita group stage,point tisa zinabaki pale kwa Mkapa hatoki mtu, away tunavuna point tatu kwenye mechi moja wapo au point mbili za droo,kazi kwisha haooooooooo quatal final.
awaamini macho yaooo[emoji444],,,,,pelepetepetepete,,,awaamini macho yaoooooo.[emoji445][emoji350] [emoji118] kispika cha Ahmed Ally ichoo.[emoji23][emoji28]
Ni kawaida ya vitimu vidogo kukamia mechi,huwezi.kuwazuia.Iko wazi kabisa kuwa Yanga wameshikwa pabaya! Tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumushwa CAF Champions League kama kibaka fulan hivi, kwa kujaribu kuwafunga Simba.
Kwa mtazamo wa Yanga, kumfunga Simba ni kama kuchukua Kombe la Duinia, huwa wanacheza nje na ndani ya uwanja!
Simba tuwe macho tuwafunge, na hapo utazuka mgogoro hapo Jangwani!
Najua tutacheza na majini uwezo wa wao kushinda haupo.Iko wazi kabisa kuwa Yanga wameshikwa pabaya! Tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumushwa CAF Champions League kama kibaka fulan hivi, kwa kujaribu kuwafunga Simba.
Kwa mtazamo wa Yanga, kumfunga Simba ni kama kuchukua Kombe la Duinia, huwa wanacheza nje na ndani ya uwanja!
Simba tuwe macho tuwafunge, na hapo utazuka mgogoro hapo Jangwani!
Utopolo hawawahi kumiliki akili,mafuvu yao ni buyu la kuhifadhia makamasi tuUende robo!?..robo kilo au!!!?..na siku hizi wanajua mnawapulizia na kuwalisha sumu...mtapigwa za kutosha
Hapa Wala hakuna Cha kujadili, Yanga anacheza na mteja wake, point 3 ziko pale.Iko wazi kabisa kuwa Yanga wameshikwa pabaya! Tumaini lao lililobaki kwa mbali ni kutaka kufurahisha na kuwasahaulisha machungu ya kufurumushwa CAF Champions League kama kibaka fulan hivi, kwa kujaribu kuwafunga Simba.
Kwa mtazamo wa Yanga, kumfunga Simba ni kama kuchukua Kombe la Duinia, huwa wanacheza nje na ndani ya uwanja!
Simba tuwe macho tuwafunge, na hapo utazuka mgogoro hapo Jangwani!
Wachezaji walioifikisha Simba hatua ya Makundi.Kwa wachezaji gani mkuu??
Kutolewa Champions League kwa Yanga usidhani Yanga ni Mchekea, utapigwa hadi ushangae.
Nachowakubali Yanga kwenye Dabi hawanaga utani, wanakiwasha ile mbaya.