Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Maji ya mwamposa labdaYanga ni kama maji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji ya mwamposa labdaYanga ni kama maji
Mwana lunyasi mwenzangu tukubali yaisheMaji ya mwamposa labda
Utopolo ni jina lililowakaa vema sana.Halibadiliki.Na Madunduka mbumbumbu wewe unaongoza
Mojawapo ni kolokwinyo sports clubKwa mpira gani team zinapocheza mpira wa kutisha zipo Caf champions league hko
Fei toto hakuzuiwa na Simba kuichezea Yanga. Hayo ya kumzuia si tunayasikia kutoka kwa wanasheria, mameneja na familia yake? Simba isihusishwe, maana hata Azam imeacha kutajwa sasa inatajwa simbaKombe letu ni feitoto tu kutokurudi yanga.
Mwanafunzi hajisahihishii mtihani, anatakiwa asahihishiwe na mwalimu. Kwani CAF wanasema ni timu gani bora ukanda huu? 😁😁😁Yanga ndio timu bora kwa Sasa Africa mashariki na Kati!!
Hutaki pita kule😀😀😀😀😀😀😀
Same old rhetoric. Hamna kingine?WanaYanga wenye akili ni JK na Baba Manara pekee, wengine wote ukiwemo wewe mleta mada ni Mataahira na majuha wakubwa. Unachoona cha ajabu ni kipi afanyacho Yanga kwa sasa hakijawahi fanywa na Simba. Unapoongea Simba tambua unaongelea KLABU BORA AFRIKA KATIKA TOP 10 Brother so punguza kujizima data kuifananisha na Klabu za Ovyo Ovyo zinazocheza mpira wa butua butua na Judo Uwanjani.
haijawahi kuwa klabu Bora popote si apa Tanzania au uko kwenye mashindano ya Caf.
Iwafikie Mbumbumbu FC 😁Yanga ndio klabu Bora ya muda wote apa Tanzania
Pumba ipo wapi hapo mwana lunyasi mwenzanguUmeandika Pumba. Kumbe Kuna watu HUMU Wana Akili za kipuuzi kama zako???????
Jamii forum IMEKUWA ya Hovyo sana kuwa na member kama nyie
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]daaaaaaaaahHatuna Simba kama wewe..ww ni jamii ya ya zinjathropus
Manara hakukosea kweli mnatisha harafu mko kombe la ma looserSasa Ndugu mchangia mada, alichokosea mleta mada Nini!? Yeye kaomba tu wanasimba mkubali kwamba Yanga hii inatisha basi.
Na ni kweli ukiwacheki wanavyocheza na wanavyo approach game zao yes ni wanatisha kweli, wapo peak.
Hasira za Nini sasa!?
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Ni kwenye hilohilo kombe "mlilowa" mpaka mkaamua kutumia njia mbadala ya kurogaa na kuchoma uwanja wa watu.Manara hakukosea kweli mnatisha harafu mko kombe la ma looser
Kubali mwenyewe usi24CSio kwa mpira ule, tulijua feitoto akiwavuruga yanga watadondosha point Lakin wapi. Kombe letu ni feitoto tu kutokurudi yanga.
Kwanini tunaitwa mandunduka, zuwena fc? View attachment 2547880
Yanga ndio timu bora kwa Sasa Africa mashariki na Kati!!
Hutaki pita kule[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]