Simba tukubali yanga hii inatisha

Simba tukubali yanga hii inatisha

Umeandika Pumba. Kumbe Kuna watu HUMU Wana Akili za kipuuzi kama zako???????

Jamii forum IMEKUWA ya Hovyo sana kuwa na member kama nyie
 
Kombe letu ni feitoto tu kutokurudi yanga.
Fei toto hakuzuiwa na Simba kuichezea Yanga. Hayo ya kumzuia si tunayasikia kutoka kwa wanasheria, mameneja na familia yake? Simba isihusishwe, maana hata Azam imeacha kutajwa sasa inatajwa simba
 
Yanga ndio timu bora kwa Sasa Africa mashariki na Kati!!
Hutaki pita kule😀😀😀😀😀😀😀
Mwanafunzi hajisahihishii mtihani, anatakiwa asahihishiwe na mwalimu. Kwani CAF wanasema ni timu gani bora ukanda huu? 😁😁😁
 
WanaYanga wenye akili ni JK na Baba Manara pekee, wengine wote ukiwemo wewe mleta mada ni Mataahira na majuha wakubwa. Unachoona cha ajabu ni kipi afanyacho Yanga kwa sasa hakijawahi fanywa na Simba. Unapoongea Simba tambua unaongelea KLABU BORA AFRIKA KATIKA TOP 10 Brother so punguza kujizima data kuifananisha na Klabu za Ovyo Ovyo zinazocheza mpira wa butua butua na Judo Uwanjani.
Same old rhetoric. Hamna kingine?
 
Utopolo
 

Attachments

  • 48c1ab856c074fef923b047dc92192a8.mp4
    1.4 MB
Hatuna Simba kama wewe..ww ni jamii ya ya zinjathropus
 
Sasa Ndugu mchangia mada, alichokosea mleta mada Nini!? Yeye kaomba tu wanasimba mkubali kwamba Yanga hii inatisha basi.

Na ni kweli ukiwacheki wanavyocheza na wanavyo approach game zao yes ni wanatisha kweli, wapo peak.

Hasira za Nini sasa!?

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Manara hakukosea kweli mnatisha harafu mko kombe la ma looser
 
Back
Top Bottom