Simba tulieni! Mipango mingi ya ushidni ilikuwa inafeli kwa sababu ya Barbara, sasa Yanga kukiona

Kuna namnamoja tu Simba anaweza kupata nafuu Kwa Yanga, Kumuondoa GSM kama Walivyo fanikiwa kumuondoa Manji kupitia Makonda.
Bila kuondoka GSM Simba ata waungane, wakusanyane, wajipange wataendelea kuteseka Kwa muda mrefu sana na vikombe wasahau kabisa.
 
Sasa nyie kilichobaki ni kumfukuza mwekezaji wenu zaidi najua hakuna,mlianza na Manara,sasa Barabara,kituo kinachofuata ni Mooo,na ndio kifo cha lunyasi😂
 
Acheni dharau Kwa Mtu aliyejitoa Kwa ajili ya timu hata kama alikuwa analipwa. Mlitaka timu iwe ya Ishirikina kama enzi za kukataa mpira Wenye rangi ya njano au nyekundu?
 
Aaah wapi, mmepoteza mtu muhimu sana.
B ni mwanamke wa shoka aliondoa vibaraka na vichawa wa kijinga.
Nadiriki kusema aliondoa uswahili wa wazee walioitesa simba miaka nebda rudi.

Simba ilikaa kitaasisi sana.
Ombeni mpate mtu bora kama yeye.
Simba ilikuwepo kabla yake...namkubali ila hakuna mtu atakae kaa mahali milele maisha lazima yaendeleee
 

Muelewe mleta mada yule CEO katufelisha sana huo ndo ukweli, angalia namna usajili ulivyofanywa!!!! Ivi kuna mtu anataka kulipa watu mishahara bila kazi yoyote???

Tuna wachezaji wangapi wqmesajiliwa msimu uliopita na hakuna kitu wanafanya wla uwanjani hawaingii? Huwoni iyo ni hasara kw club? Dada hii nafasi ni kubw sana kwake apewe nafasi nyingine ametutia hasara sana club!!!

Anazurura tu uko kwa watu mwanzo nilizani kuna kitu anataka kukileta kwa simba kipya na kitasaidi club kupitia ziara zake lakini ni upuuzi mtupu...!!! Kama atabaki sawa lakini sio CEO
 
Kweliiiii😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…