Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nawaambia wale wanaosikitika kuondoka kwa Barbara waache ujinga, huyo dada amesababisha miaka minne tushindwe kumfunga Yanga, kwa sababu akipewa mipango yeye anapuuza, anawaona watu wapigaji, wengi waliokuwa na mapenzi na Simba walikaa pembeni kwa sababu yake
Simba ilikuwa inatoa sare au kufungwa kwa sababu yake, Barbara ni mtendaji mzuri lkn ujuaji mwingi, amewakuta watu pale Simba alitakiwa ashirikiane nao ili kuleta mafanikio sio kuleta ubinafsi.
Maendeleo yalikuwa yanakwenda slow sana kwa sababu yake, Simba ni timu kubwa sana, yeyote atakaeondoka haiwezi kutuathiri, tunao watu pale wenye akili na mipango
Huyo Mo Dewji kila siku anatujambisha, mara nataka kujitoa mara nn sijui, shenzi type, subirini ss muione Simba mpya bila Barbra, mpira utapigwa na hakuna wa kuizuia Simba tena.
Tuiunge mkono timu yetu, huyo Barbra atuachie timu yetu.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app