choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Hatukatai mkuu hiyo inatokeaga, lakini kupigwa magoli 5 mtungi x 2 na timu 2 tofauti kwenye kundi hilohilo ni dalili ya udhaifu fulani pahala ( wachezaji au kocha au vyote kwa pamoja)Kiafrika mtu kwao bhana, japo na quality inachangia, Mazembe si juzi tuu katoka kula 3 mtungi ugenini, then naye home akapiga mtu 8, ingikuwa ni uwezo kihivo wasingeliwa 3 ugenini na Constantine, na utashangaa huyo aliyopigwa 8 nyumbani akamzibua Mazembe hata 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata usilaumu sana, Al Ahly kwanza ndo bingwa wa kihistoria , pili kacheza fainali msimu uliopita, As vital ni finalist wa CAF msimu juzi, kwa hiyo ni timu ambazo ni kubwa mno kiuwezo kulinganisha na Simba , na kiafrika advantage ya home ground, simba kula 5×2 ugenini si jambo la kushangaza,Hatukatai mkuu hiyo inatokeaga, lakini kupigwa magoli 5 mtungi x 2 na timu 2 tofauti kwenye kundi hilohilo ni dalili ya udhaifu fulani pahala ( wachezaji au kocha au vyote kwa pamoja)
Hicho ki-avatar najikuta nakikodolea macho tu kwa sababu nina ugonjwa na watoto wembamba warefu.Anyway mpira ndivyo ulivyo na karata yangu ya kuingia robo fainali bado nawapa Simba,wautumie uwanja wao wa nyumbani vizuri watatoboa tuWatu wasio jua mpira ni shiida sana, we ulitaka siku zote usikie simba kashinda goli nne, tatu, mbili...... ila yenyewe ikifungwa basi hawajui!!! acha kuandika utumbo humu wakati fulani huwa unachuchosha tu na nyuzi zako.
Heee we veepee, magoli 5 kwa nusu saa wewe unaona kawaida, huo ni uchizi wa mahaba ya mtu chake. Kwani ingekuwa 5-2 kungekuwa na mtu kuibeza Simba? Watu wanaojuwa mpira wanafahamu thamani ya goli moja la ugenini kwenye mashindano, wewe hamna kitu.Watu wasio jua mpira ni shiida sana, we ulitaka siku zote usikie simba kashinda goli nne, tatu, mbili...... ila yenyewe ikifungwa basi hawajui!!! acha kuandika utumbo humu wakati fulani huwa unachuchosha tu na nyuzi zako.
Hakuna bahati. Na msimu ujao
Kama simba itashiriki tena lazima ifike makundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujanjax2 tu timu zetu hiziHivi ni mchezaji yupi pale Al-Ahaly akija leo Simba atahitaji kufanyiwa majaribio kwanza ili asajiliwe? Simba na Yanga wamejaza wachezaji wa kigeni waliofanyiwa majaribio kwanza ili waone uzuri wao kabla ya kusajiliwa
Na ilo fungwa nane na TP mazembeBahati ipo, unatakà kusema Yanga inayo timu inayoifanya iongoze ligi? Simba kama imefika pale Kwa uwezo basi isingefungwa 5-0 x 2 na timu 2 tofauti za 16 bora. Afadhali kama ingefungwa hivyo na timu moja tu ingekuwa habari nyingine. Kiukweli Simba ingetakiwa itolewe na Nkana siku ile ila bahati ilitumika kwa Chama kufunga bao la akadabla wakaiondosha Nkana. Ona Chama anavyovurunda mechi za makundi hadi anatolewa nje kupisha under dogs. Yale magoli kama aliyoifunga Nkana hadi watu wote wakasisimkwa na kuonekana kama wehu yako wapi?
Alishindwa kujua, kiafricka mtu kwaoKuna watu hawajuh mpira kabisa yaaan I narudia tena hamjuh
Unasema simba Ina Bahati kwakuwa et wame fungwa 5mala mbili
Je Ulaya mbona watu wanapigwa ad 7nao unasema je mpira unamabo mengi Sana ili mtu upate mate keo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu hawajuh mpira kabisa yaaan I narudia tena hamjuh
Unasema simba Ina Bahati kwakuwa et wame fungwa 5mala mbili
Je Ulaya mbona watu wanapigwa ad 7nao unasema je mpira unamabo mengi Sana ili mtu upate mate keo
Sent using Jamii Forums mobile app