Simba tulifika kibahati 16 Bora Africa

Simba tulifika kibahati 16 Bora Africa

Kiafrika mtu kwao bhana, japo na quality inachangia, Mazembe si juzi tuu katoka kula 3 mtungi ugenini, then naye home akapiga mtu 8, ingikuwa ni uwezo kihivo wasingeliwa 3 ugenini na Constantine, na utashangaa huyo aliyopigwa 8 nyumbani akamzibua Mazembe hata 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haji Manara alifanikiwa kutuuzia vipande vya chupa kwa bai ya dhahabu. Namsifu sana Mh. Haji Manara alivyofanikisha kutuaminisha wanaSimba wote kuwa Simba ya msimu huu ni moto wa kuotea mbali na hata kuweza kuifananisha Simba na Barcelona (ya akina Iniesta), Beryan, Man City na Real Madrid uwanjani. Alituaminisha pia Ausseims ni kocha ambaye hakamatiki kimataifa hasa kusini mwa jangwa la sahara.
Huyu angefaa pia kuwa msemaji wa jeshi (Al-sahaf wa Tanzania), kampuni ya mo au vinywaji visivyopendwa sana na watu kama vile chibuku.

Anakipaji maalumu na mvuto wa kuvuta hisia za watu waamini kwenye jambo hata lile asilolijuwa sawasawa.
 
Kiafrika mtu kwao bhana, japo na quality inachangia, Mazembe si juzi tuu katoka kula 3 mtungi ugenini, then naye home akapiga mtu 8, ingikuwa ni uwezo kihivo wasingeliwa 3 ugenini na Constantine, na utashangaa huyo aliyopigwa 8 nyumbani akamzibua Mazembe hata 4

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatukatai mkuu hiyo inatokeaga, lakini kupigwa magoli 5 mtungi x 2 na timu 2 tofauti kwenye kundi hilohilo ni dalili ya udhaifu fulani pahala ( wachezaji au kocha au vyote kwa pamoja)
 
Hatukatai mkuu hiyo inatokeaga, lakini kupigwa magoli 5 mtungi x 2 na timu 2 tofauti kwenye kundi hilohilo ni dalili ya udhaifu fulani pahala ( wachezaji au kocha au vyote kwa pamoja)
Hata usilaumu sana, Al Ahly kwanza ndo bingwa wa kihistoria , pili kacheza fainali msimu uliopita, As vital ni finalist wa CAF msimu juzi, kwa hiyo ni timu ambazo ni kubwa mno kiuwezo kulinganisha na Simba , na kiafrika advantage ya home ground, simba kula 5×2 ugenini si jambo la kushangaza,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wasio jua mpira ni shiida sana, we ulitaka siku zote usikie simba kashinda goli nne, tatu, mbili...... ila yenyewe ikifungwa basi hawajui!!! acha kuandika utumbo humu wakati fulani huwa unachuchosha tu na nyuzi zako.
 
Hicho ki-avatar najikuta nakikodolea macho tu kwa sababu nina ugonjwa na watoto wembamba warefu.Anyway mpira ndivyo ulivyo na karata yangu ya kuingia robo fainali bado nawapa Simba,wautumie uwanja wao wa nyumbani vizuri watatoboa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wasio jua mpira ni shiida sana, we ulitaka siku zote usikie simba kashinda goli nne, tatu, mbili...... ila yenyewe ikifungwa basi hawajui!!! acha kuandika utumbo humu wakati fulani huwa unachuchosha tu na nyuzi zako.
Heee we veepee, magoli 5 kwa nusu saa wewe unaona kawaida, huo ni uchizi wa mahaba ya mtu chake. Kwani ingekuwa 5-2 kungekuwa na mtu kuibeza Simba? Watu wanaojuwa mpira wanafahamu thamani ya goli moja la ugenini kwenye mashindano, wewe hamna kitu.
 
Hakuna bahati kweye mpira, soka siyo Tatu Mzuka shekh!!
 
Hivi ni mchezaji yupi pale Al-Ahaly akija leo Simba atahitaji kufanyiwa majaribio kwanza ili asajiliwe? Simba na Yanga wamejaza wachezaji wa kigeni waliofanyiwa majaribio kwanza ili waone uzuri wao kabla ya kusajiliwa
Ujanjax2 tu timu zetu hizi
 
Alafu ipigwe kumi kumi kila mechi.
Hata al-ahaly wangetaka yangefika 10 siku ila, ila waliona yanatosha wakaamua kujilinda Tu Kwa kupaki bus kipindi cha pili.
 
Na
Bahati ipo, unatakà kusema Yanga inayo timu inayoifanya iongoze ligi? Simba kama imefika pale Kwa uwezo basi isingefungwa 5-0 x 2 na timu 2 tofauti za 16 bora. Afadhali kama ingefungwa hivyo na timu moja tu ingekuwa habari nyingine. Kiukweli Simba ingetakiwa itolewe na Nkana siku ile ila bahati ilitumika kwa Chama kufunga bao la akadabla wakaiondosha Nkana. Ona Chama anavyovurunda mechi za makundi hadi anatolewa nje kupisha under dogs. Yale magoli kama aliyoifunga Nkana hadi watu wote wakasisimkwa na kuonekana kama wehu yako wapi?
Na ilo fungwa nane na TP mazembe
 
Kuna watu hawajuh mpira kabisa yaaan I narudia tena hamjuh

Unasema simba Ina Bahati kwakuwa et wame fungwa 5mala mbili

Je Ulaya mbona watu wanapigwa ad 7nao unasema je mpira unamabo mengi Sana ili mtu upate mate keo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ni maandazi,mpira plan. Plan zako zikikataa za mwenzio zikikubali. lazima uumie,

Hakuna bahati uwanjani hata siku moja.
Kuna watu hawajuh mpira kabisa yaaan I narudia tena hamjuh

Unasema simba Ina Bahati kwakuwa et wame fungwa 5mala mbili

Je Ulaya mbona watu wanapigwa ad 7nao unasema je mpira unamabo mengi Sana ili mtu upate mate keo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom