Haha dahaaaaaMm n shabiki wa yanga ila mashabiki walio wengi wa yanga n vilaza Sana
Mleta post timu yetu unaiona hali yake ilivyo unaona wenzetu leo wanapambana kucheza robo fainal ya champion league sisi timu yetu ambayo haijamilikiwa na mtu ipo wapi Sasa
Unatia kinyaa mkuu naumia walau na sisi angepatikana mtu Kama MO tungekuwa mbali Sana
Katika hizi businesses unaweza kujikuta unajitutumua kuandika vi nyuzi kumbe uko chaka.Yaan mmbebaki kuwa mavuvuzela wa Moo! Angalia sasa owner kama owner![emoji42][emoji42]View attachment 1742082
Mkuu GSM si wapo?Mm n shabiki wa yanga ila mashabiki walio wengi wa yanga n vilaza Sana
Mleta post timu yetu unaiona hali yake ilivyo unaona wenzetu leo wanapambana kucheza robo fainal ya champion league sisi timu yetu ambayo haijamilikiwa na mtu ipo wapi Sasa
Unatia kinyaa mkuu naumia walau na sisi angepatikana mtu Kama MO tungekuwa mbali Sana
Ni Bora aimiliki Mo anayetoa pesa, kulipa mishahara ya wachezaji na kuifanya kuwa klabu Bora kuliko kutumiwa na waganga njaa wa kibongo wasio na faida yoyote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mo amiliki tu Simba.... Akitaka aibadili hata jina. Haina shida.Yaan mmbebaki kuwa mavuvuzela wa Moo! Angalia sasa owner kama owner![emoji42][emoji42]View attachment 1742082
Copyright claim inahitajika unamaanisha?.Yaan mmbebaki kuwa mavuvuzela wa Moo! Angalia sasa owner kama owner![emoji42][emoji42]View attachment 1742082
Hata achukue kila kitu sie tunataka Simba ishinde tu nyie mgawane mbao na kero jiulize lini iliwahi tokea mkagawiwa hata senti tano tangu zianze acheni ujinga mnachotaka ni furaha tu na furaha ni matokeoYaan mmbebaki kuwa mavuvuzela wa Moo! Angalia sasa owner kama owner![emoji42][emoji42]View attachment 1742082
Kwamba mo ni mkenya au!!??Ni Bora aimiliki Mo anayetoa pesa, kulipa mishahara ya wachezaji na kuifanya kuwa klabu Bora kuliko kutumiwa na waganga njaa wa kibongo wasio na faida yoyote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Akilini mwako ndilo ujualo[emoji122][emoji122][emoji122]Kwamba mo ni mkenya au!!??
Njoo pm nikuelekeze mahali uje uchukue hennessy yako😂😂Sisi shabiki wa yanga ni wajinga sana
Sasa mo akimiliki timu wewe shabiki inakuhusu nini,?
Timu ishinde uwanjani ndio furaha ya shabiki