KUCH KUCH
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 1,327
- 966
Endelea na u.s.eng3 wkoYaan mmbebaki kuwa mavuvuzela wa Moo! Angalia sasa owner kama owner![emoji42][emoji42]View attachment 1742082
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea na u.s.eng3 wkoYaan mmbebaki kuwa mavuvuzela wa Moo! Angalia sasa owner kama owner![emoji42][emoji42]View attachment 1742082
Yanga kama mataga tuu yaaniYaan mmbebaki kuwa mavuvuzela wa Moo! Angalia sasa owner kama owner![emoji42][emoji42]View attachment 1742082
Afrika ya mnyamaYaan mmbebaki kuwa mavuvuzela wa Moo! Angalia sasa owner kama owner![emoji42][emoji42]View attachment 1742082
Kwenye CAF ratings hata Namungo wamewaacha mbali kazi yao kuzomea zomea tu kama manyani vileYanga kama mataga tuu yaani
alafu malizia kabisa hata utd,liverpool, city, chelsea n.k zinatupa raha ila sisi sio wamiliki.......Ni Bora aimiliki Mo anayetoa pesa, kulipa mishahara ya wachezaji na kuifanya kuwa klabu Bora kuliko kutumiwa na waganga njaa wa kibongo wasio na faida yoyote!
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu hata haturingi yaani
wajinga wachache wanachukulia Simba ni chama cha siasa,alafu malizia kabisa hata utd,liverpool, city, chelsea n.k zinatupa raha ila sisi sio wamiliki.......
tunachotaka ni furaha, suala la nani anamiliki halitusaidii chochote
Mkuu tuwachangie hata hela ya togwa maana wana hali mbaya sana ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mashabiki wa yanga embu kuleni pasaka
Simba wapo busy na mipango ya robo fainali
Mpaka raha yaniYaan mmbebaki kuwa mavuvuzela wa Moo! Angalia sasa owner kama owner![emoji42][emoji42]View attachment 1742082