Simba tuliwaambia hamna hatimiliki ya hiyo timu tena

Simba tuliwaambia hamna hatimiliki ya hiyo timu tena

IMG-20210404-WA0000.jpg
 
Wakati huo huo team menu inaendeshwa na GSM kwa kila kitu, na huku mnalilia Manji arudi, Ni kamą mashabiki wa Yanga wamepitiwa na mwezi mchanga.
 
Kichwa cha mwendawazimu ndio hiki sasa...yaani wewe badala ya kumpongeza mwenzio kafanikiwa ..wewe unaumia
 
Ni Bora aimiliki Mo anayetoa pesa, kulipa mishahara ya wachezaji na kuifanya kuwa klabu Bora kuliko kutumiwa na waganga njaa wa kibongo wasio na faida yoyote!

Sent using Jamii Forums mobile app
alafu malizia kabisa hata utd,liverpool, city, chelsea n.k zinatupa raha ila sisi sio wamiliki.......

tunachotaka ni furaha, suala la nani anamiliki halitusaidii chochote
 
alafu malizia kabisa hata utd,liverpool, city, chelsea n.k zinatupa raha ila sisi sio wamiliki.......

tunachotaka ni furaha, suala la nani anamiliki halitusaidii chochote
wajinga wachache wanachukulia Simba ni chama cha siasa,
 
Back
Top Bottom