Timu ya simba ina mawenge sana. Mechi inachezwa uwanja wa Uhuru Dar es salaam! Kocha anaipeleka timu nchini kwake Afrika ya Kusini kuweka kambi! Hali ya hewa ni ya baridi, tofauti kabisa na ile ya Dar!
Yanga wenyewe kama ilivyo kawaida yao! Wameweka kambi Avick Town Kigamboni! Eneo ambalo lina hali ya hewa ile ile, kwa ajili ya maandalizi ya hiyo mechi!
Ikitokea simba akafungwa kwenye mechi ya derby, ni nani wa kulaumiwa? Kulikuwa na sababu ya kwenda Afrika ya kusini kwa ajili ya maandalizi? Au ni ulimbukeni tu!!!